Habari ya leo rafiki na mpendwa msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri na leo ni siku bora sana kwetu kwenda kufanya kile tulichopanga kufanya na kutegemea kupata matokeo bora sana. Kila mmoja wetu kula kile anachoamini kadiri ya imani yake. Mimi nina imani yangu na wewe unaimani yako. licha ya kila mtu …
Continue reading "Chezea Vitu Vyote Kutoka Kwa Mtu Lakini Usichezee Kitu Hiki"