Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao Kessy Deo? ni matumaini yangu uko vizuri na hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Karibu sana katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza wote kwa pamoja na leo nitakwenda kukushirikisha uchambuzi wa kitabu machache kati ya mengi niliyojifunza. Uchambuzi wa kitabu wa …
Uhakika Wa Maisha Uko Sehemu Hii Hapa
Habari ya asubuhi mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera kwa zawadi nzuri ya siku ya leo. Napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale muhimu niliyokuandalia. Kitu pekee ambacho unacho sasa ndiyo una uhakika nacho kuliko …
Kama Unataka Kufanikiwa Kwenye Kitu Chochote Kile Anza Kufanya Kitu Hiki Kwanza
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na umeamka salama hivyo hongera sana kwa kuendelea kuvuta pumzi kwani ni ushindi mkubwa sana wa siku hii ya leo. Rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza kile nilichokuandalia siku hii …
Continue reading "Kama Unataka Kufanikiwa Kwenye Kitu Chochote Kile Anza Kufanya Kitu Hiki Kwanza"
Jinsi Ya Kupata Ukuu Hapa Duniani
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu umeamka salama na umeianza siku yako kwa imani chanya ya kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata kilicho bora. Rafiki, nikualike katika somo letu la leo tuweze kujifunza wote kwa pamoja na hivyo basi, tusafiri pamoja hadi mwisho wa kipindi …
Uhai Wa Kila Uhusiano Unaamuliwa Na Kitu Hiki Hapa
Habari ya asubuhi mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Hongera sana kwa ushindi wa siku hii ya leo ulioupata ni nafasi nyingine nzuri ya kwenda kuacha alama kwenye maisha yako. Rafiki karibu sana katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza hivyo kwa namna ya kipekee nakusihi sana tusafiri pamoja kimazo hadi pale …
Continue reading "Uhai Wa Kila Uhusiano Unaamuliwa Na Kitu Hiki Hapa"
Uhuru Wa Binadamu Yeyote Unapatikana Hapa
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya yale tuliyotazamia kuyafanya na kutegemea kupata ushindi. …
Continue reading "Uhuru Wa Binadamu Yeyote Unapatikana Hapa"
Dalili Moja Ya Mtu Anayeishi Bila Kujua Kusudi La Maisha Yake Hapa Duniani
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa uko vizuri na hongera kwa kustahilishwa tena kuendelea kupumua siku hii ya leo. Rafiki, napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza. Karibu sana uambatane na mimi hadi mwisho wa kipindi chetu. Janga kubwa katika maisha yako ni …
Continue reading "Dalili Moja Ya Mtu Anayeishi Bila Kujua Kusudi La Maisha Yake Hapa Duniani"
Huyu Ndiyo Mtu Ambaye Huwezi Kuishi Naye
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri, hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo na iwe jumapili ya ushindi kwako. Rafiki, napenda kukualika katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale muhimu niliyokuandalia. Hivyo basi, …
Uchambuzi wa Kitabu;Mambo 31Niliyojifunza Kutoka Katika Kitabu cha Many Miles To Go
Habari ya leo mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? hongera kwa siku hii ya leo na karibu sana katika uchambuzi wa kitabu kama ilivyokawaida leo ninakwenda kukushirikisha wa kitabu cha Many Miles to Go kilichoandikwa na mwandishi mashuhuri duniani Brian Trancy na haya ni machache kati ya mengi. Uchambuzi Wa kitabu; many …
Fursa Tatu Za Kipekee Zitakazokuwezesha Kukua Kiakili Na Kutanua Wigo Wa Maarifa
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo hivyo itumie vizuri nafasi uliyopata. Rafiki, kwa namna ya pekee nikualike katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kile nilichokuandalia siku hii ya leo. Karibu …
Continue reading "Fursa Tatu Za Kipekee Zitakazokuwezesha Kukua Kiakili Na Kutanua Wigo Wa Maarifa"