Hawa Ndiyo Watu Wanaofurahia Maisha Hapa Duniani

Maisha ni furaha na wala siyo kuvumilia. Tumezaliwa kufurahia maisha na siyo kuvumilia maisha. Unaishi mara moja tu hapa duniani kama unashindwa kufurahia sasa usitegemee kama utakua na kipindi cha pili kama vile mpira wa miguu. Rafiki,Kuwa na furaha ni uamuzi wa mtu kuchagua na wala siyo kwenda kununua dukani. Ni kitu ambacho kipo ndani …

Njia Adimu Ya Kuongeza Mahusiano Imara Na Mwenzi Wako Wa Ndoa

Mpendwa rafiki, Huwa nasisitiza sana kusoma vitabu kwani kusoma vitabu kuna faida kubwa kwenye kila eneo la maisha yetu. Hata nikisema nikuandike faida za kusoma Vitabu itakuwa ni litania ndefu yaani orodha ndefu. kitu pekee ambacho ningeweza kukushauri kama hujui faida za kusoma vitabu basi anza kusoma vitabu utaona faida utakazozipata. Kama uko kwenye magrupu …

Kitu Ambacho Hakitokusaidia Kwenye Maisha Yako

Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaamliwa kila kitu katika maisha yetu. Tulikuwa tunafanyiwa maamuzi kadiri ya wazaziΒ  au walezi wetu. Na tulikuwa hatuna ubishi wa kukataa kwa sababu tulikuwa ni wadogo hatuna budi kukubali kwa wakati huo. Wazazi ndiyo chanzo cha maisha yetu hapa duniani. Hakuna mtu hata mmoja aliwahi kuandika barua ya kuomba kuzaliwa je wewe …

Vitu Vyote Vina Ukomo Lakini Hiki Hakina Ukomo

Mpendwa rafiki, Kwenye kitu chochote unachokifanya bado kuna nafasi ya wewe kuwa Β bora zaidi ya hapo ulipo. Maisha yetu ni kama sanaa tunaweza kuyapamba kadiri tuwezavyo sisi. Maisha yana ukomo wake, kila mtu ana ukomo wake hapa duniani. Waswahili wanasema hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kumbe kila kitu kina mwisho wake. Kama unapitia wakati mgumu …

Kama Huna Furaha Anza Na Kitu Hiki Moja Tu Na Utakua Na Furaha

Habari ya leo mpendwa rafiki? Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo uliyoipata hakika ni zawadi ya upendeleo na hakuna zawadi kama zawadi ya maisha hapa duniani kwa sababu mipango yetu yote tunayotaka kuikamilisha iko ndani ya zawadi ya maisha. Ukikosa zawadi ya maisha umekosa vyote hivyo kama umestahilishwa kuendelea kuishi basi ishi …

Faida Moja Kubwa Kwanini Mabadiliko Ni Muhimu Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki? Ni imani yangu hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana kwa juhudi mbalimbali unazoweka kuhakikisha unapiga hatua kwenda mbele. Ili tuweze kufanikiwa kwenye kitu chochote lazima tufanye mabadiliko ya kweli. Hata kama unataka kuwa vizuri kiakili lazima ufanye mabadiliko kwanza ya akili, kama ulikuwa ni mtu ambaye huna maarifa chanya unayoingiza …

Unajivunia Ufundi Gani Kati Ya Huu Hapa?

Mpendwa rafiki, Kama kitu ambacho dunia imebarikiwa basi ni kuwa na mafundi wengi. Dunia ina mafundi wengi je ufundi ulionao wewe una athari chanya au una athari hasi kwa jamii? Tuna mafundi wazuri kweli duniani wanaotusaidia kutengeneza mambo mbalimbali yanayofanya maisha yetu yaende kwa kupata mahitaji mbalimbali. tukiachana na mafundi chanya ambao ndiyo mafundi wanaoifanya …

Mafanikio Makubwa Unayojinyima Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Hongera sana kwa kumaliza juma la 11 na hongera sana kwa kuanza juma la 12 leo. Kumbuka wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda licha ya yote unayopitia kwenye maisha yako. Huenda kila mmoja wetu ana ndoto kubwa sana katika maisha yake. Ndani ya …

Hakuna Binadamu Yeyote Ambaye Hayuko Kwenye Kitu Hiki

Hakuna binadamu yeyote ambaye hayuko katika mahusiano. Binadamu ni mahusiano yaani kila mmoja ana kitu kinachoitwa vinasaba (DNA). Lazima uko katika mahusiano kwa sababu una mama,baba, ndugu na watu wengine wote ukisema huna mahusiano na mtu yeyote hapa duniani basi wewe utakua siyo binadamu. Familia ndiyo mama wa jamii kwani familia ndiyo inazalisha jamii hivyo …

Kitu Pekee Unachomiliki Katika Maisha Yako

Vitu vyote tunavyomiliki katika maisha yetu siyo vya kwetu. Umeazimwa kwa muda tu rafiki itakuja siku utanyang'anywa. Usiseme nimepoteza semaΒ  nimerudisha. Huwa tunapoteza vitu vingi sana hivyo usilalamike na kusema nimepoteza sema nimerudisha. Vitu tulivyonavyo kweli tumepewa kwa muda, nyumba, gari, mke, mume, watoto, mali yaani kila kitu tumepewa kwa muda tu hivyo vitumie vizuri …

Design a site like this with WordPress.com
Get started