Mpendwa Rafiki, Mara nyingi huwa tunapenda kushinda na ni vizuri kweli mtu kujiandaa kushinda kuliko kushindwa. Lakini tunapaswa kuelewa kuwa maisha yako kama mchezo wa mpira wa miguu. Kuna wakati mwingine unaweza kushinda na wakati mwingine usishinde na unaweza ukapata matokeo ya bila bila kabisa muda mwingine yaani hujashinda wala hujashindwa. Kwahiyo, unapojikuta katika hali …
Continue reading "Jambo Muhimu La Kuzingatia Kama Unapenda Kupata Ushindi Kila Siku"