Katika kazi zetu tunazofanya kila mmoja anajijua yuko vizuri katika kitu gani. Wengine wanajua kabisa kazi yoyote inayopita katika mikono yao basi wanahakikisha wanatengeneza jina na kuacha alama kupitia kazi hiyo. Kuna wengine wanafanya kazi ili mradi tu wamalize au wapate hela. Kufanya kazi tu upate hela ni utumwa fanya kazi kwa kuipenda na kutoa …
Continue reading "Kazi Yoyote Unayofanya Unamfanyia Mtu Huyu Hapa"