Mpendwa rafiki, Huwa tunajiwekea utaratibu au ratiba ya kuifuata ndani ya siku husika. Pengine unakuwa na mambo ambayo umeyapanga kuyatekeleza lakini cha ajabu mambo unapanga mwenyewe lakini huyatekelezi. Unapokuwa unapanga kitu halafu unashindwa kukitekeleza bila sababu ya msingi huko ni kujidharau mwenyewe. Kama unashindwa kusimamia mambo yako unayopanga mwenyewe na kuyatekeleza utawezaje kusimamia ya wengine …
Thubutu Na Futa Nadharia Hii Kwenye Akili Yako
Tukisema tuanze kumtafuta adui mkubwa wa maisha yetu jibu la haraka ni sisi wewe wenyewe. Tumekuwa ni watu wa kujikwamisha kweli sisi wenyewe, watu wanakuwa na hamasa kweli lakini wakifikiria kuanza na ile picha ya hofu waliyojijengea akilini utakuta moja kwa moja wanashindwa kuanza. Ziko hofu nyingi sana ambazo zinawasumbua watu kutochukua hatua, kuna wengine …
Continue reading "Thubutu Na Futa Nadharia Hii Kwenye Akili Yako"
Kwanini Hupati Matokeo Unayoyataka Kwenye Kile Unachofanya?
Mpendwa rafiki, Watu wengi hawapati kile wanachokitaka katika maisha yako ni kwanini? Kwa mfano, mtu anawaza mafanikio makubwa badala ya kuwaza kufanya kazi. Bila kazi utawezaje kupata mafanikio unayoyataka? Mtu yeyote anayetaka mafanikio lazima akubali kufanya kazi hilo halina ubishi, hata ukeshe ukiomba ili upate mafanikio lakini kama hakuna juhudi yoyote unayoweka lazima tu utashindwa. …
Continue reading "Kwanini Hupati Matokeo Unayoyataka Kwenye Kile Unachofanya?"
Jinsi Ya Kupata Madeni Mbalimbali Kwenye Maisha Yako
Huwa tunajitengenezea sisi wenyewe madeni. Hakuna mtu aliyeamka anadaiwa milioni moja bali alianza kidogo kidogo mpaka ikafikia hicho kiwango kikubwa. Huwa tunapokopa tunafurahia lakini wakati wakulipa tunajihisi uchungu sana na mpaka muda mwingine tunasema kwanini nilikopa kwa ile adha ambayo mtu anakuwa anaipata. Licha ya kuwa na madeni ya kifedha lakini pia tuna madeni mbalimbali …
Continue reading "Jinsi Ya Kupata Madeni Mbalimbali Kwenye Maisha Yako"
Amini Katika Hili Hata Kama Hakuna Anayekusapoti
Habari gani mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Hongera sana kwa siku hii nyingine bora ya leo na nenda kaitumie vizuri rafiki yangu. Nikualike katika makala yetu ya leo ili tuendele kujifunza rafiki. Aliyekuwa mtawala wa roma na mwanafalsafa wa falsafa ya ustoa Marcus Aurelius aliwahi kusema kuwa sisi tunajipenda wenyewe kweli …
Continue reading "Amini Katika Hili Hata Kama Hakuna Anayekusapoti"
Madhara Ya Kushindwa Kutimiza Majukumu Yako Kwenye Mahusiano Uliyonayo
Ukiangalia kwenye mitandao ya kijamii au watu wanavyoonesheana upendo kwa nje ili watu wajue wanapendana unaweza kusema kweli hakuna matatizo katika mahusiano. Lakini mambo yanakuwa ni tofauti, kuna wengine ni mabingwa wa kumwaga sifa za wenzi wao katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa wanawapenda lakini uhalisia unakuwa hauko kwenye maisha ya kweli. Kama mtu …
Continue reading "Madhara Ya Kushindwa Kutimiza Majukumu Yako Kwenye Mahusiano Uliyonayo"
UCHAMBUZI WA KITABU; Hand Book of Epictetus( Misingi Muhimu Ya Falsafa Ya Ustoa)
Unaendeleaje rafiki? nimekuwa sikushiriki uchambuzi hapa kwa muda mrefu na hii ni baada ya kuamua kubadilisha mfumo kama utakua unapenda uchambuzi wa vitabu basi jiunge moja kwa moja katika mimi ni mshindi utakua unapata uchambuzi wa vitabu kila wiki kujiunga na mimi ni mshindi nimezaliwa kushinda bonyeza hapa na pia jiunge katika mfumo wetu wa …
Continue reading "UCHAMBUZI WA KITABU; Hand Book of Epictetus( Misingi Muhimu Ya Falsafa Ya Ustoa)"
Kijue Chanzo Kikuu Cha Ubinafsi Hapa Duniani
Kuna bahari moja ambayo iko pale mashariki na kati hii bahari kazi yake ni kupokea tu maji kutoka kwenye vyanzo vingine vya maji lakini yenyewe haitoi maji kwa wengine. Matokeo yake yale maji yake yamekuwa ni machafu na yananuka hayafai tena kwa matumizi ya binadamu. Sifa ya dunia ni kutoa na kupokea na hii ndiyo …
Continue reading "Kijue Chanzo Kikuu Cha Ubinafsi Hapa Duniani"
Hii Ndiyo Gharama Sahihi Unayopaswa Kulipia Kwenye mipango Yako
Tumeshazoea kuwa tukitaka kununua kitu fulani ndiyo tunalipia lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la tatu kila kitu hapa duniani unalipia. Kila kitu kina bei yake hata kama hutoi fedha moja kwa moja lakini kuna gharama unalipia kwa kujua au kutokujua. Ukitaka kuwa na afya bora kuna gharama yake hivyo lazima ukubali kulipia bili au bei …
Continue reading "Hii Ndiyo Gharama Sahihi Unayopaswa Kulipia Kwenye mipango Yako"
Kitu Pekee Kinachokutofautisha Na Wengine Ni Hiki Hapa
Rafiki, Tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu sasa kwanini tunatoafutiana kimatokeo na hata kiutendaji? Wote tumepewa uwezo mkubwa wa kufanya chochote kile kwa sababu uwezo huo tunao na uko ndani mwetu. Kwanini wengine wanaweza kuamka mapema asubuhi na wengine hawawezi, kwanini wengine wanaanzisha vitu vyao vinakwenda na wengine haviendi nini kinachotutofautisha ni swali makini …
Continue reading "Kitu Pekee Kinachokutofautisha Na Wengine Ni Hiki Hapa"