Bado watu wengi wanaishi lakini hawajioni kama hata wana thamani yoyote ile hapa duniani. Wengine wameshakata tamaa ya maisha wanasubiria tu siku zao za kuishi zikamilike. Watu wamekuwa ni wataalamu wa kulalamika huku wakitafuta mtu wa kumsingizia kwanini yuko hivyo. Ukienda kumuuliza mtu aliyekosa tumaini la maisha ataanza kukushia orodha ya watu waliomfanya we hivyo …
Continue reading "Kwanini Wewe Ni Sababu Ya Mafanikio Ya Dunia"