Mpendwa rafiki yangu, Kila siku tunafanya maamuzi, kuna maamuzi ya aina mbili maamuzi sahihi na maamuzi yasiyo sahihi. Wakati mwingine unajikuta unafanya maamuzi ya aina zote mbili sahihi na yale ambayo siyo sahihi. Aina zote za maamuzi ni maamuzi hata mtu usipoamua kufanya maamuzi nayo ni maamuzi. Linapokuja swala la mafanikio yako binafsi kama unafanya …
Continue reading "Usiwe Na Huruma Katika Kufanya Maamuzi Haya"