Mpendwa rafiki yangu, Roma haikujengwa kwa siku moja vivyo hivyo tabia nzuri haijengwi kwa siku moja. Ili uwe na ndoa bora ni mchakato unatakiwa kufanya kila siku wala siyo cha siku moja. Huwezi ukachukua kipaza sauti na kusema kuwa mimi ndoa yangu ni bora haina matatizo. Kila ndoa ina changamoto yake, kila maisha uliyochagua kuishi …
Continue reading "Hawa Ndiyo Watu Watatu Wanaohusika Katika Maisha Ya Ndoa"