Usiwe Muumini Wa Mambo Haya

Mpendwa rafiki, Una kuwa vizuri  sana katika kile ulichoamua kukifanya, kama umejitoa kuwa bora katika eneo fulani lazima uwe bora kwa sababu hakuna kinachokuzuia kuwa hivyo. Umejitoa katika nini? Wewe ni muumini wa mambo gani? muda mwingine mtu anaweza kuja kwako na kukuambia habari ambazo hata wewe huzipendi huna haja ya kukaa na kusikiliza ni …

Jinsi Ya Kujitangaza Na Kujiuza Vizuri

Mpendwa rafiki, Hakuna mtu ambaye atajua wewe una nini bila kusema kile ambacho unacho. Huwezi ukafungua biashara na kuweka bidhaa chumbani huku ukisubiria wateja waje wanunue. Kile unachokitaka lazima kiandane na matendo halisi. Mwingine sauti yake ya ndani inamsukuma kufanya kitu fulani lakini anashundwa kufanya kwa vitendo anaendelea kuongelea ndoto yake katika mdomo na siyo …

Jinsi Ya Kujua Fedha Zako Zinakwenda Wapi Ndani Ya Mwezi

Mpendwa rafiki yangu, Wengi wetu tunapata fedha kwa shida, kwa jasho na muda mwingine hata kwa maumivu. Lakini, kitu cha kushangaza watu wanakuja kusaulishwa maumivu hayo katika matumizi. Yaani mtu akishapata pesa anasahau kabisa kama aliipata kwa shida, akili huwa inaruka au kuondoka kabisa pale mtu anapokuwa na hela na inakuja kurudi hela zikiisha. Wengine …

Dunia Haitosimama Pale Utakapokuwa Umepatwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anayeweza kuisimamisha dunia, hakuna mtu anayeweza kuibadilisha asili kama vile atakavyo. Dunia iko katika mwendo siku zote hivyo hata uwe na sababu zako nzuri kiasi gani hutoweza kuisimamisha hata kwa sekunde moja. Rafiki yangu, watu wengi wanafikiria kuwa pale unapokuwa umekutana na changamoto katika maisha yako dunia labda itasimama, ukweli …

Kitu Kinachomkamilisha Ubinadamu Wako

Mpendwa rafiki, Tunaweza kuwa na sifa nyingi sana na tabia mbalimbali lakini kuna kitu tukikosa tunakuwa tumekosa ubinadamu. Wewe mpaka unaitwa binadamu una kitu cha kipekee ukilinganisha na mnyama fulani hivyo tuna thamani kubwa ndani yetu ila kama muda mwingine tukikoa thamani ya kitu fulani tunakuwa hatuna maana tena. Kitu kinachokamilisha ubinadamu wetu ni upendo, …

Elekeza Nguvu Hizi Katika Kushinda

Mpendwa rafiki, Kama kila mtu angekuwa ni mtoa sababu tokea Mungu aumbe dunia sijui kama leo hii dunia ingekuwa kama hivi ilivyo. Watu wachache walioamua kufanya kile wanachotaka ndiyo wanaofanya leo hii dunia inapendeza, watu wengi ni wagumu wabadiliko na hawataki kujisumbua wanaridhika kile ambacho wanacho. Hata wale waliofanya makubwa walipata upinzani mkali sana ndiyo …

Maeneo Saba (07) Muhimu Ya Kufanyia Usafi Katika Maisha Yetu Ili Kuwa Na Mafanikio Makubwa

Mpendwa rafiki yangu, Usafi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, hakuna ambaye anaweza kuthubutu kutoka kitandani asubuhi na kwenda eneo lake la kazi akiwa mchafu, hata sehemu tunazoishi zikiwa chafu tunakosa amani. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuupa nafasi uchafu na usafi unakubalika kila sehemu na kila eneo la maisha yetu. Rafiki, …

Hiki Ndiyo Kiungo Cha Kuwa Makini Nacho Kuliko Viungo Vyote Vya Mwili

Mpendwa rafiki, Wengine wamekuwa na vilema vya maisha, maisha yamekuwa hayana maana, mataifa na miji yenye nguvu imebomolewa na kiungo hiki. Magomvi baina ya watu na watu,familia nakadhalika yanasababishwa kwa sababu ya kukosa nidhamu ya kutumia kiungo hiki vizuri. Moto mdogo unaweza ukateketeza msitu mzima vivyo hivyo kwa kiungo kidogo  cha mwili wa binadamu unaweza …

Kama Unataka Kupata Fedha Nyingi Ondoa Laana Hii Kwanza

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anajua fedha ni muhimu na hilo halina ubishi. Fedha inakubalika karibu kila eneo la maisha yetu ya kila siku. Hivyo basi, katika karne hii ya ishirini na moja tunaweza kusema kuwa fedha ni mfalme yaani cash is the king. Unapata hewa bure sasa ukiwa mzima lakini ukiwa unaumwa na huna …

Kisasi Kizuri Cha Kuwafanyia Watu Wanaokudharau

Mpendwa rafiki, Kila mtu ana uwezo mkubwa ndani yake wa kufanya mambo makubwa na kushangaza dunia. Lakini, licha uwezo mkubwa ndani yetu tulionao bado kuna watu hawajitambui kama wanauwzo huo mkubwa ndani yao. Pili, bado kuna watu wanajidharau na hawajiamini kama kweli wao wanaweza kufanya makubwa. Kama tunashindwa kujiamini sisi wenyewe kuwa ni bora basi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started