Mpendwa rafiki, Kila mtu ana ulevi wa kitu fulani na tunaposema kuwa na uraibu ni kuwa na ulevi yaani kuwa addicted na kitu fulani. Kuna ulevi ambao una faida na ambao hauna faida, ulevi ambao unakurudisha nyumba badala ya kukupeleka mbele. Una ulevi wa kitu gani? kuwa na ulevi wa kitu ambacho kinakupa mafanikio makubwa …
Dalili Nzuri Ya Kuonesha Kuwa Unapiga Hatua Za Kimafanikio
Mpendwa rafiki, Kama unafanya mambo makubwa sehemu unayoishi hata kwa wale wanaokuzunguka ni lazima utapigwa vita. Hakuna mtu ambaye anaweza kwenda kumpiga teke mbwa aliyekufa, hivi mtu kwa akili yako unaweza kufanya kitu kama hicho? Kwanini uhangaike na mzoga? Au mti unaopigwa mawe ni ule mwenye matunda, hakuna mtu ambaye atahangaika na mti ambao hauna …
Continue reading "Dalili Nzuri Ya Kuonesha Kuwa Unapiga Hatua Za Kimafanikio"
Miaka Miwili Ya Kuandika Kila Siku Na Mambo Matano Muhimu Niliyojifunza
Mpendwa rafiki, Nilianza kuandika mwaka 2014 katika mtandao wa amka mtanzania na mpaka leo naendelea kuandika. Tarahe mosi October mwaka 2016 nilianza marathoni ya kuandika kila siku ndani ya mwezi mmoja kupitia mtandao wangu wa KESSY DEO. Niliweza kufanikiwa kuandika kila siku ndani ya mwezi mzima na baada ya hapo niliamua kutoiacha safari ya kuandika …
Continue reading "Miaka Miwili Ya Kuandika Kila Siku Na Mambo Matano Muhimu Niliyojifunza"
Hawa Ndiyo Watu Rahisi Kuongozwa Katika Uongozi
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu ni kiongozi hata kama huongozi watu lakini unajiongoza wewe mwenyewe, tumeshazoea kuona uongozi katika maisha yetu lakini hakun kazi ngumu kama kuongoza watu. Hata katika familia baba na mama ni viongozi lakini kuongoza ni kazi kwa sababu watu wenyewe ambao ni viongozi wanashindwa kujiongoza. Uongozi ni nidhamu kama huna …
Continue reading "Hawa Ndiyo Watu Rahisi Kuongozwa Katika Uongozi"
Unapojipanga Kufanikiwa Jipange Na Hili
Mpendwa rafiki yangu, Dunia huwa haina huruma, unapojipanga kufanikiwa na yenyewe inajipanga kukuangusha chini. Kuna nguvu kubwa sana ya kuangusha chini, nguvu ya uvutano inayokupinga wewe usiendele mbele, dunia huwa haifurahii kirahisi kukuona wewe unapiga hatua ya kwenda mbele ndiyo maana unaona hakuna kitu unachofanya bila kupingwa. Mfano, mzuri ni pale hata tunaporusha jiwe juu …
Sifa Moja Kubwa Ya Mtu Ambaye Hasamehi
Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anayeishi anahitaji kusamehe na kusamehewa kwa sisi wote ni binadamu basi tuna udhaifu wa kibadamu. Tunahitaji huruma ya Mungu ili tuweze kusamehe kama yeye anatusamehe makosa yetu sisi ni nani mpaka tusiwasamehe watu wengine?. Katika familia nyingi na jamii yetu kwa ujumla msamaha unaotawala ni msamaha wa uongo kwa sababu …
Maisha Yako Yanakuwa Bora Ukiwa Na Hiki
Mpendwa rafiki, Tukiachana na pumzi tunayovuta basi kila kitu kinahitaji fedha na hata hiyo pumzi ni bure tu ukiwa mzima lakini ukiwa unaumwa unailipia tena kwa gharama kubwa. Kila mmoja wetu anapenda kuwa bora karibu kila eneo la maisha yake lakini kuwa bora kuna hitaji kitu ambacho kitakufanya uwe bora, huwezi kuwa bora kwa sababu …
Huyu Ndiye Mtaalamu Wa Kuhubiri Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki, Kioo huwa kinatusaidia kujiangalia kama kuna mahali hapako sawa tuweze kujirekebisha, iwe ni nguo, uso, mwili nakadhalika. Mara nyingi tunapovaa nguo na kabla hatujaondoka tuhakikisha kwanza kama tuko vizuri kwenye kioo na kioo huwa hakidanganyi kinatuonesha vile tulivyo kama ni wachafu au wasafi kitasema. Kioo kinakuja kuonekana hakina maana kama mtumiaji amejiangalia na …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtaalamu Wa Kuhubiri Kwenye Maisha Yako"
Ongozwa Na Maneno Haya Mawili Na Siku Yako Itakuwa Bora Sana
Mpendwa rafiki yangu, Kila siku ni kama tunaingia kwenye mchezo fulani. Unapoamka tu unajianda na kwenda kucheza, kila mtu ana tumia mbinu zake katika kucheza na katika mchezo wowote lengo lake ni kupata ushindi hivyo wewe kama mwanamafanikio lazima ujue jinsi ya kushinda katika siku yako. Tunakutana na mengi, tunasikia mengi na tunaona mengi. Ila …
Continue reading "Ongozwa Na Maneno Haya Mawili Na Siku Yako Itakuwa Bora Sana"
Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kinachokunyima Kufikia Uhuru Wa Kifedha
Mpendwa rafiki, Fedha ni jawabu la mambo yote. Ni mfalme kwa karne hii najua hakuna mtu ambaye anaweza kwenda kulipia bili kwa sababu na akapata kile anachotaka, sababu hazina sauti lakini pesa ina sauti na kifupi tu miasha yako yanakuwa bora sana ukiwa na fedha. Una hitaji pesa ili mambo yako mengi yaende vizuri hivyo …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kinachokunyima Kufikia Uhuru Wa Kifedha"