Jinsi Ya Kunogesha Mahusiano Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu amezaliwa katika mahusiano. Hakuna mtu ambaye anasoma hapa hayuko katika mahusiano. Tuna mahusiano ya kifamilia, kindugu, kirafiki nk. Mahusiano mazuri yananjengwa katika uaminifu. Sijui ni nani atakuwa mjinga kwenda kujenga mahusiano na mtu ambaye siyo mwaminifu. Lakini pia uaminifu unajengwa mahali ambako pana uhakika. Tunajenga uaminifu mahali ambako tuna …

Kitu Pekee Ambacho Huwezi Kukibadilisha Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Tunapaswa kuielewa asili vizuri sana kwa sababu asili ndiyo maisha ya kila mwanadamu yapo. Tunaalikwa kuelewa kuwa katika maisha ya binadamu kuna mambo mawili, Moja, yale ambayo yako ndani ya uwezo wetu na yale ambayo yako nje ya uwezo wetu. Jambo lolote linalotokea katika maisha yako unatakiwa kukaa chini na kujiuliza, je …

Epuka Kitu Hiki Katika Masuala Ya Fedha

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni muhimu katika maisha yetu hilo halina ubishi. Tunatumia fedha kuishi maisha tunayotaka hapa duniani na fedha hufanya maisha yetu kuwa bora. Katika mchezo wa fedha eneo la nidhamu limewashinda wengi, unapozungumzia mchezo wa fedha unatakiwa uwe na roho ya nidhmu na siyo vinginevyo. Kuna mambo mengi ambayo tunayafanya katika mchezo …

Hii Ndiyo Faraja Kubwa Wanayopata Wazazi Kutoka Kwa Watoto Wao

Mpendwa rafiki, Mzazi huwa anafarijika pale anapomwona mtoto wake anapofanya mambo mazuri, anajihisi mwenye amani na hata mtoto anapokuwa amelelewa vizuri, malezi mazuri yale malezi mazuri yanakwenda kuwa Baraka siyo tu kwa wazazi hata kwa watu wengine. Watu wanakuwa wanavutiwa na watoto wenye adabu njema na utii kwa wakubwa wao, hivyo anapofanya mazuri katika ngazi …

Jinsi Ya Kumfahamu Mtu Mwenye Hekima Na Mjinga

Mpendwa rafiki yangu, Tunaishi na watu na hivyo tunatakiwa kuwafahamu watu vizuri. Kujua mema ni kutenda mema kama wanafalsafa wavyosema. Tunapowafahamu  watu tutajua jinsi ya kuishi na watu vizuri. Kama ulishawahi kusikia kuwa, kuna mtu mmoja katika hadithi ya vitabu vya dini ambaye alikuwa  ni tajiri na mtu mwenye hekima sana na huyo alikuwa siyo …

Kitu Ambacho Hakitokusaidia Kubadilisha Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Tuna muda mfupi sana hapana duniani wa kufanya yale muhimu lakini siyo kufanya kila kitu kinachojitokeza katika maisha yako. unapoianza siku yako unatakiwa kuwa na ratiba ya ushindi ambayo umeandika mambo unayopaswa kuyafanya ndani ya siku husika. Hivyo, yakijitokeza mambo ambayo hayapo katika ratiba yako wala hata usihangaike nayo ni usumbufu tu …

Eneo Pekee La Fedha Linaloonesha Kila Mtu Ni Tajiri

Mpendwa rafiki yangu, Dunia imeshijipanga kuwavuta watu kwenye vitu ambavyo havina maana juu ya maisha yao. Ukijaribu kutafakari utaona maisha ya watu wengi bado hawajajua nini haswa wanataka katika maisha yao. Na mafanikio ya kwanza ni kujua nini unataka kwenye maisha yako na baada ya kujua kuwa tayari kulipia gharama kuhakikisha unapata kile unachotaka. Maisha …

Jinsi Ya Kupata Muda Wa Kukaa Na Familia Yako Kil Siku

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ya sasa watu wamekuwa bize sana, wimbo ambao unatawala katika vinywa vya watu wengi ni ubize. Wanasema katika msafara wa mamba na kenge wao, hii hawajakosea kabisa  kwa sababu siyo kila mtu anayesema yuko bize yuko bize kweli, wengine wana bize tu za mdomo lakini wakiingia kitandani nafsi zao zinawasuta hakuna …

Mambo Mawili Ya Kufanya Kama Unataka Kuongeza Kipato

Mpendwa rafiki, Kila mtu anajua ya kwamba maisha bila kuwa na fedha yanakuwa hayana ni shida, ukisoma maandiko yanatuambia kwa tumeandaliwa mambo vitu vizuri. Swali la kujiuliza hivyo vitu vizuri tutawezaje kuvipata kama hatuna fedha? Ili tupate vitu vizuri na tuwe na maisha mazuri tunatakiwa kwanza tuwe na fedha. Tukiweza na fedha tutaweza kununua kile …

Usikubali Mtu Akufanyie Kitu Hiki Leo

Mpendwa rafiki yangu, Unapoanza siku yako jua kabisa utakutana na watu wasumbufu, watu wasiojali, wadhulumu, watu wa kukutia hasira, kukuibia na mengine mengi. Wewe kama mwanafalsafa wa ustoa, hutakiwi kuianza siku yako bila kujiandaa kisaikolojia kukutana na watu ambao watakwenda kinyume na wewe. Tunatakiwa tujiandae kwenda kushinda lakini tunaalikwa kujiandaa kiakili kukabiliana na yote, mazuri …

Design a site like this with WordPress.com
Get started