Rasilimali Ambayo Watu Wanaitumia Vibaya Na Kushindwa Kuwainua Kiuchumi

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ina rasilimali nyingi sana ambazo tukizitumia vema wala hatutakuja kujutia hata siku moja.  Kama huna kazi ya kufanya basi usitumie muda wako hovyo kuupoteza bila kuufanyia kitu cha maana. Hivi unajua kuwa tuna muda wa kufanya vitu muhimu lakini hatuna muda wa kufanya kila kitu. Binadamu tuna asili ya uvivu na …

Msingi Pekee Wa Mafanikio Wa Kumjengea Mtoto Wako

Kuishi kila siku ni zawadi ya kipekee sana. je unaitumia hiyo zawadi vizuri? Umeitwa kuwa baba au mama je unaitumia vizuri nafasi yako? Kitu chochote bila msingi lazima kitaanguka chini. Hata nyumba isipokuwa na misingi lazima ianguke chini vivyo hivyo kwa vitu vingine. Familia yako kama haina misingi ni rahisi kuanguka chini, kila sehemu makini …

Ukivishinda Vita Hivi Tayari Wewe Ni Mshindi

Kuna kitu kimoja ambacho kinawasumbua sana watu wengi. Kila mmoja wetu alishawahi kukutana nacho pale alipoanza kufanya kitu kipya kwa mwanzo. Huwa tunakuwa tunavita vya nafsi vinavyopambana katika hatua za mwanzo kabisa za kuanza kitu kipya. Kitu kinachoua ndoto za watu wengi ni hofu. Hakuna ngumu inayomaliza watu wengi kama hofu ya kuanza kitu kipya. …

Inatosha Sasa Kusherekea Mafanikio Ambayo Siyo Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anapenda kuona mafanikio yakiwa ndani yake hata kama huna mafanikio fulani lakini unatamani kuwa nayo, najua kila mmoja wetu hayuko vizuri kwenye kila eneo la maisha yake hivyo wote tunahitaji kuongeza juhudi kuhakikisha maisha yetu yanakuwa bora sana. Hatuwezi kujitosheleza kwa kila kitu kwa sababu, kujitegemea siyo kujitosheleza. Ili …

Usikubali Kitu Hiki Kiharibu Utulivu Wako Wa Akili Wiki Ndani Ya Wiki Hii

Mpendwa rafiki yangu, Bila kuwa na utulivu wa akili hatuwezi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Akili zetu zinapokuwa zinataharuki basi huwa tunafanya uzalisha mbovu na hata maamuzi yanakuwa siyo mazuri sana ukilinganisha na akili inapokuwa na utulivu wa kutosha. Kuna mambo mengi ya kila siku ambayo yanavuruga kabisa utulivu wa akili zetu hivyo yanapelekea kuwa …

Kama Unataka Kufanikiwa Katika Jambo Fulani Fanya Maamuzi Haya Mawili

Mpendwa rafiki yangu, Mtu ambaye hapendi kufanikiwa huenda akawa anatatizo la akini. Ni asili ya kila mmoja wetu kupenda vitu vizuri hata hivyo kiimani Mungu ametujalia mambo mazuri. Hatuwezi kula mambo mazuri pasipo kufanya mambo ambayo yatatupeleka katika kile tunachotaka. Kam unataka bora,lazima ukubali kupoteza kitu kizuri ili upate bora. Ndivyo ilivyo, unapenda kufanikiwa hivyo …

Hii Ndiyo Nishati Ya Mafanikio Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anajua kuwa bila nishati hatuwezi kufanikisha baadhi ya mambo kama vile kupika chakula kama hatuna nishati ya kutuwezesha kupika chakula. Kila nishati ina umuhimu wake kadiri ya uhitaji wa mtu fulani. Hata katika maisha yetu ya kawaida ili tuweze kufanya kazi vizuri tunahitaji nishati pia. Nishati ni kama kichocheo …

Ushauri Kwa Wale Wanaoanza Kufanya Biashara

Mpendwa rafiki, Biashara ni asili ya mwanadamu kabla ya ujio wa ajira watu walikuwa wanafanya biashara na tokea ajira zianzishwe mpaka sasa zina zaidi ya miaka mia mbili kumbe basi biashara ndiyo asili ya mwandamu. Hakuna sehemu ambayo ni salama lakini ingia sehemu ambayo unaipenda na unaweza kutoa thamani yako yote pale. Sehemu ambayo unaweza …

Hujaamua Kufanya Hiki Ndiyo Maana Hufanikiwi

Mpendwa rafiki yangu, Kitu kimoja nachokiamini ni kwamba tuna nguvu ya kuyaweka maisha yetu vile tunavyotaka yawe. Hata maisha unayoishi sasa umechagua kuyaishi kwa nguvu zako mwenyewe hakuna aliyekushikia fimbo. Kikundi fulani cha wafanyakazi kilikuwa kinasafiri kwenda mahali fulani. Walipofika njiani kiongozi wao aliwaambia wapitie sehemu fulani ili waweze kupata vinywaji na kila mtu achukue …

Njia Itakayokufanya Udidimie Kiuchumi

Mpendwa rafiki yangu, Tokea nimeanza kujifunza kuhusu masuala ya fedha nimegundua kuwa sisi wenyewe ndiyo tunaamua fedha zibaki na sisi au tuzipoteze. Chuma ulete mkubwa wa fedha zako ni wewe mwenyewe na wala siyo mtu mwingine. Watu wengi hawana kumbukumbu zao za kifedha kuanzia nyumbani, kazini hata kwenye biashara. Tunaambiwa kuwa mali bila daftari hupotea …

Design a site like this with WordPress.com
Get started