Watu Wengi wamezoea kufanikiwa kwenye kitu fulani lazima utoe rushwa fulani au uwe na koneksheni na mtu fulani. Ni kweli kuwa na koneksheni ni moja ya njia ya kufanikisha mambo yetu kirahisi. Lakini kuna njia ambayo tukiitumia huwa inapenya kila mahali na rushwa hiyo siyo nyingine bali ni rushwa ya ubora. Ubora ndiyo rushwa ambayo …
Continue reading "Hii Ndiyo Rushwa Inayokubalika Na Watu Wengi"