Kama Unataka Kuirekebisha Dunia Anza Na Kitu Hiki

Kama unaona baadhi ya mambo katika jamii yako ni mabaya, na unataka kuyaboresha basi iko njia moja nzuri ya kufanya hivyo. Unatakiwa kuwaboresha au kuwabadilisha watu na ili kuwabadilisha watu unatakiwa kuanza na kitu kimoja. Na kitu hicho ni kuanza kuwa bora wewe mwenyewe.Kama tunataka kuwaona wengine wawe bora anza wewe kuwa bora. Kama unataka …

Watu Wote Wako Sawa Isipokuwa Sehemu Hii

Iko misemo mengi ambayo inathibitisha kuwa sisi binadamu wote ni sawa. Mungu amempendelea kila binadamu kwa kumpa uwezo mkubwa wa akili. Bill Gate naye aliwahi kusema kuwa kuzaliwa masikini siyo kosa lako, Bali kuchagua kuwa masikini ndiyo kosa lako. Kila mtu amezaliwa akiwa hana kitu, jinsi maisha yetu yalivyo ndivyo tulivyojichagulia kuishi. Juhudi zako ndiyo …

Hili Ndiyo Jaribio La Mtu Mwenye Upendo

Karibu dini zote duniani zinasimamia falsafa ya upendo. Upendo ndiyo amri kuu kwa watu wote, ukiweza kusimama na upendo basi utafanikiwa kwenye mengi. Mambo mengi yanakwenda ndivyo sivyo katika maisha yetu ni kwa sababu ya kukosa kukosa upendo. Laiti kama kila mmoja wetu angekuwa anasimamia na kuishi falsafa ya upendo basi dunia ingekuwa salama kwa …

Huna Mtu Wa Kumlaumu Katika Maisha Yako

Imekuwa ni desturi ya watu wengi katika maisha kuwalaumu wengine kwa kila kitu. Watu wanashindwa kuvaa majukumu yao ya kila siku na wakiona mambo yameenda ndivyo sivyo wanatafuta mtu wa kumlaumu. Kuna mchekeshaji mmoja anasema, Kama ukikosa watu wa kuwalaumu wazazi wako wako pale kwa ajili ya kuwalaumu. Kuliko kuwalaumu watu kwa matokeo yako unayopata …

Jinsi Ya Kufanya Kisichowezekana Kadiri Ya Mt. Fransisco

Kinachoshindikana kwako, kwa mwingine kinawezekana. Watu tumezidiana uwezo, kitu ambacho kwako unakiona ni kigumu kwa mwenzako ni kirahisi. Hakuna kitu kigumu bali ugumu uko kwa mhusika mwenyewe. Kama hesabu watu wanasema ni ngumu lakini mbona kuna watu wanaifaulu vizuri? Hapa ndiyo tunajifunza dhana hii kwamba hakuna kitu kigumu bali ugumu uko kwa mhusika mwenyewe. Unaweza …

Jinsi Ya Kujitofautisha Na Wafanya biashara Wengine

Kwanini mteja aje kununua kwako na siyo kwa mtu mwingine? Hilo ndiyo swali unalopaswa kujiuliza kwa kila mfanya biashara. Wateja wengi hawanunui kwa sababu ya kukuonea huruma bali wateja wananunua kwa sababu ya shida zao, kuna thamani ambayo wanaitaka kutoka kwako. Ili kujitofautisha na wafanya biashara wengine hakikisha kwanza unakuwa na kitu cha ziada. Unatakiwa …

Pale Unapojikuta Njia Panda

Kuna wakati unajikuta njia panda, una mambo mengi ya kufanya halafu hujui ufanye lipi na uanze lipi. Unapojikuta katika hali kama hiyo, siku zote unashauriwa kufanya kile kilicho sahihi kwako kufanya. Kumbe basi, Unapojikuta njia panda na hujui lipi la kufanya wala usipoteze muda wako, bali wewe nenda kafanye kile kilichokuwa sahihi kwako kufanya. Siku …

Huyu Ndiye Mtu Wa Kwanza Wa Kukutia Moyo

Huwa tunakutana na changamoto nyingi sana kwenye maisha yetu. Na inafikia wakati tunajikuta tunataka kukata tamaa kwa sababu za kibinadamu. Wengine wanavunjika mioyo katika utendaji wao wa kazi kutokana na makwazo wanayopitia makazini. Yapo mengi tunayokutana nayo, katika maisha, zipo changamoto tunazokutana nazo katika kazi, biashara, mahusiano yetu, malezi ya watoto na nk. Licha ya …

Sehemu Pekee Unayoruhusiwa Kuchepuka

Si halali kuchepuka katika mahusiano bali ni halali kuchepuka eneo la kipato. Unaruhusiwa kuchepuka katika eneo la fedha, kama unaona kiwango cha fedha ulichokuwa nacho hakikutoshi hujafungwa bali tafuta fedha zaidi. Hakuna mtu atakayekufunga kwa wewe kutoa thamani kubwa na kisha kupata fedha zaidi. Matumizi yakiwa makubwa usilalamike ongeza kipato. Kuna wakati unaweza kubana sana …

Chagua Moja Kati Ya Hivi

Dunia huwa haina huruma, inamwadhibu mtu kadiri ya uzembe wake na inamlipa mtu kadiri ya thamani yake. Watu wengi wamekuwa wakitumia fedha ambazo hawana kununua vitu ili kuwafurahisha watu wasiojali. Leo ninakuomba kitu kimoja, uchague kuwafurahisha watu uendelee kuwa masikini au ujinyime na kuwa tajiri. Huwezi kutoka katika umasikini bila kuishi tabia za kitajiri. Chagua …

Design a site like this with WordPress.com
Get started