Wewe ndiyo kiungo namba moja wa kile kinachoendelea kutokea kwenye maisha yako. Iwe unajua au hujui, wewe ndiyo unahusika kwa asilimia 100 na matokeo unayoendelea kupata sasa. Wewe ni mchangiaji namba moja wa matokeo uliyopata, unayopata na utakayoendelea kuyapata. Kwa kulijua hilo, leo nakwenda kukushirikisha mambo mawili ambayo yatakwenda kubadili maisha yako na kukuletea mambo …
Continue reading "Kuwa Na Vitu Hivi Viwili Na Mambo Mazuri Yanakwenda Kutokea"