Aliyekuwa mkurugenzi na mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Apple Steve Jobs aliwahi kunukuliwa akisema; Kinachowatofautisha kati ya wafuasi na viongozi ni ugunduzi. Hutakiwi kuwa kiongozi mfuasi bali unatakiwa kuwa kiongozi mgunduzi. Kila siku unatakiwa ujifunze namna ya kuongoza. Usipokuwa wa kujifunza maana yake umechagua kuwa mfuasi na hii maana yake ni kuwa hutoweza kugundua kitu …
Continue reading "Hiki Ndicho Kinachowatofautisha Wafuasi Na Viongozi"