Kuna watu wawili muhimu sana hapa duniani. Hao ni watu ambao wanafanya maisha yetu ya kila siku yaende. Siyo kwamba watu wengine siyo muhimu hapana, kila mtu ana umuhimu wake. Kuna watu ambao wakikuita tu, unatakiwa kuacha mara moja kufanya kile ulichokuwa unafanya na kwenda kuwasikiliza. Watu hao ni bosi au mteja wako. Bosi na …
Continue reading "Mtu Huyu Akikuita Acha Kile Unachofanya Nenda Kamsikilize"