Mpaka mtu amekuja kwako na kukuomba msaada kuwa umsaidie kitu fulani, ujue hana au hajui. Kitu unachokosea ni pale mtu anapokuja kwako na kukuomba umsaidie kitu fulani hajui na wewe unamkosoa na kumwambia yaani hata hiki hujui? Sasa kama mtu angekuwa anajua angeuliza ya nini? Mtu anauliza kwa sababu hajui na anahitaji msaada hivyo mtu …
Continue reading "Hii Ndiyo Njia Bora Ya Kumsaidia Mtu Anayehitaji Msaada Wako"