Ni yale ambayo upande mmoja unanyonya upande wa pili na kuutegemea kwa kila kitu. Mahusiano yasiyochosha ni yale ambayo kila mmoja anakuwa na kitu cha kutoa. Ukitaka mahusiano yaende vizuri, kila mtu awe na kitu cha kutoa. Kama uko kwenye mahusiano fulani halafu wewe unakuwa tegemezi basi anza kuchangia. Usipochangia utachokwa na utakua mzigo. Mama …
Usipokuwa Makini Huyu Hapa Atakunyang’anya Mafanikio Yako
Unyenyekevu ni mama wa fadhila zote. Mtu ambaye amekosa unyenyekevu katika maisha hawezi kufika mbali. Usipokuwa makini na kiburi utaanguka chini. Kiburi ndiyo kitu cha kwanza kinachowaangusha watu katika kile wanachokifanya. Iwe ni kipaji, kazi au biashara ukiwa umeweka kiburi tu kinakunyang'anya mafanikio uliyonayo. Hata ukifanikiwa kiasi gani, usiwe na majivuno au kiburi. Hivi ni …
Continue reading "Usipokuwa Makini Huyu Hapa Atakunyang’anya Mafanikio Yako"
Jinsi Ya Kufanya Pale Unapokutana Na Jambo Ambalo Hukutegemea Kutokea
Mwandishi Deepak Chopra anatuambia kwamba kwenye maisha hakuna ajali. Na hili ni kweli. Kila kinachotokea huwa kinakuja na kusudi ambalo sisi tunakuwa hatulijui ila asili inajua hilo. Kila kinachotokea kwenye maisha yako, iwe ni kizuri au kibaya, kaa ukijua kimekuja na kusudi fulani. Hivyo basi, badala ya kulia au kushangilia unahitaji kukaa chini na kujiuliza …
Continue reading "Jinsi Ya Kufanya Pale Unapokutana Na Jambo Ambalo Hukutegemea Kutokea"
Furaha Ya Maisha Yako Inategemea Ubora Huu Hapa
Wewe ni kile unachofikiri. Wewe ni kile unachokula. Unakuwa vile unavyotaka kuwa kadiri unavyoitumia akili yako. Kile kinachoingia ndani ya akili yako ndicho kinachotoka. Je unaingiza vitu chanya? Kama jibu lako ni ndiyo basi hata kutoa utatoa kitu chanya. Usitegemee kupokea kile ambacho huna. Na hii ni sheria ya asili. Aliyekuwa mtawala wa Roma na …
Continue reading "Furaha Ya Maisha Yako Inategemea Ubora Huu Hapa"
Kwenye Kile Unachofanya Shabaha Yako Iwe Hapa
Kama unafanya kazi yoyote ile fokasi yako isiwe muda bali matokeo. Fokasi kwenye matokeo na siyo kwenye muda. Pima ufanisi wako wa kazi au wa kitu chochote kile unachofanya kwa kiasi gani umeweza kufanikiwa. Na siyo masaa mangapi uliyotumia kufanya kazi. Utawakuta watu wanajisifia muda waliofanya kazi badala ya kujisifia matokeo waliyozalisha. Kwenye kazi yoyote …
Continue reading "Kwenye Kile Unachofanya Shabaha Yako Iwe Hapa"
Ijue Methali Ya Kijapani
Wajapani wana methali yao inayosema kile ambacho hutaki kikutoe jasho ukiwa kijana, kitakuja kukutoa machozi ukiwa mzee. Hii ina maana gani kwetu?Maana kubwa ya kuondoka nayo hapa ni kwamba, ni rahisi kukwepa kile unachotakiwa kufanya sasa lakini kamwe matokeo yake huwezi kuyakwepa. Matokeo utayapata tu baadaye kama kwa sasa hutaki kulipia gharama kubwa. Usikwepe kile …
Ili Usiwapoteze Watoto Fanya Hiki
Ni zama za ajabu sana mtu unaweza kumaliza siku huna kikubwa ulichofanya pale unapojipima kwa matokeo uliyozalisha. Kuna wakati tunakuwa bize kiasi kwamba tunasahau majukumu ya kifamilia. Ni kweli lazima tujitume ili tuingize fedha ya kuendesha maisha. Ila siyo kila ubize unaleta matokeo chanya. Unapaswa kujichunguza uko bize kiasi gani kiasi kwamba unasahau kujua hata …
Vitu Viwili Vya Kuwa Navyo Kwenye Zama Hizi
Bilionea na mwekezaji Warren Buffet aliwahi kusema, uaminifu ni zawadi ya ghali sana, usitarajie kuipata kwa watu wa kawaida. Kwa zama hizi tunazoishi kuna vitu viwili vimekuwa adimu ambavyo huwezi kuvipata kwa kila mtu bali ni watu wachache tu. Navyo ni; Moja, uaminifu. Watu wengi siku hizi siyo waaminifu. Hata kama wewe ni mwaminifu kiasi …
Continue reading "Vitu Viwili Vya Kuwa Navyo Kwenye Zama Hizi"
Ifahamu Tabia Moja Ya Ushindi
Ni ung'ang'anizi. Chagua nini unataka kwenye maisha yako, kisha amua kujitoa maisha yako yote kwenye kile unachotaka mpaka unakipata. Jifunze hata kwa Yakobo, alimwambia malaika wa Mungu sikuachi mpaka unibariki. Siri yake ya ushindi hapa ni ung'ang'anizi, alijua anataka baraka hivyo akang'ang'ana na akapata kile anachotaka. Usitegemee kupata ushindi wowote ule kama hujaweka kazi ya …
Muombe Mteja Wako Akusaidie Kufanya Haya
Kwenye kazi, biashara au kile unachofanya hakikisha unajua mahitaji ya mteja wako.Hii ndiyo hatua ya kwanza kabisa katika mauzo. Ukishajua mteja wako anataka nini ni rahisi kumhudumia vizuri. Pili mwelekeze mteja kuhusu kile unachouza. Mwambie ni namna gani kile unachomuuzia kinakwenda kuwa suluhisho la changamoto inayomkabili. Mweleze mteja thamani atakayokwenda kuipata pale tu atakaponunua kwako …