Huu Ndiyo Mchepuko Unaopaswa Kuwa Nao

Kiasili kila binadamu anapenda vitu vizuri lakini pia vitu vizuri vinahitaji gharama kubwa. Siyo kwamba watu hawapendi vitu vizuri, tatizo ni kwamba hawana fedha za kupata kitu kizuri. Watu wameendelea kupokea kile wanachopokea kila siku bila kuwa watu wa kubadilika. Kama vitu vinapanda bei na maisha yanabadilika kwa nini na wewe usipande sasa? Hakuna hatari …

Huyu Ndiye Mteja Mzuri Kwako

Biashara ndiyo shule kamili ya maisha. Biashara ni somo kamili la maisha na somo lenyewe haliishi. Kwenye Biashara, eneo ambalo unapaswa kuliangalia kwa umakini ni eneo la masoko. Kwa sababu masoko ndiyo biashara yenyewe. Kama huna masoko basi ni wazi hata mauzo yatakusumbua. Mtaji wa biashara yako ni wateja ambao watanunua kile unachouza. Kile ambacho …

Hii Ndiyo Sehemu Yenye Mafanikio

Hakuna kitu ambacho hakilipi duniani. Na kama ingekuwa vile wanavyofanya watu havilipi basi wasingefanya. Tatizo siyo kwamba vile tunavyofanya havilipi, tatizo ni ufanyaji wetu wa kazi. Ufanyaji wetu wa kazi ndiyo unaamua upate matokeo gani. Kwa mfano, katika mpira wa miguu, wachezaji wako wengi lakini wale wanaofanikiwa kwenye mpira wanafanya nini na wale ambao hawafanikiwi …

Hii Ndiyo Sababu Inayokufanya Hupati Matokeo Mazuri

Mwandishi T. Harv Eker alianza maisha akijua ana uwezo mkubwa tu. Lakini, kila biashara aliyokuwa anajaribu kufanya aliishia kushindwa na hakuweza kupata faida. Hii ilimpelekea arudi nyumbani kwa wazazi wake. Siku moja rafiki wa baba yake ambaye ni tajiri alikuja nyumbani kwao na kuwaambia T. Harv Eker kwamba anajua anachopitia anaweza kumsaidia ushauri. Rafiki wa …

Kitu Pekee Unachopaswa Kukijua Kwenye Maisha Yako

Kwenye maisha unapaswa kujua kile unachotaka, halafu jenga tabia zinazokusapoti kwenye kitu hicho. Je, unataka nini? Swali la kwanza unalopaswa kujiuliza kwenye maisha yako kabla hujahangaika na mengine ni hilo hapo. Kama hujui nini unataka hutaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Ukishajua kile unachotaka sasa kazi yako kubwa ni kujenga tabia zitakazokusapoti kuwa vile …

Hii Ndiyo Maana Halisi Ya Ubahili

Natumaini umeshawahi kusikia kuwa siri ya utajiri ni ubahili hilo ni kweli kabisa kwa sababu ya maana ya ubahili katika fedha. Ubahili maana yake ni kutumia chini ya kipato chako. Kwa mfano, unapata laki lakini elfu 90 ndiyo yako hiyo nyingine inaenda kwenye uwekezaji. Lakini, kupata lakini na kutumia yote huo ni umasikini. Haijalishi unapata …

Tahadhari Ni Muhimu Sana

Kuchukua tahadhari siyo ujinga bali ni ujanja. Kwa kila unachofanya kwenye maisha yako unapaswa kuchukua tahadhari ili matokeo yanapokuja tofauti na unavyotegemea uweze kuyakabili. Falsafa ya ustoa inatufundisha kuwa tujiandae kwa matokeo yote yale tunayopenda na tusiyopenda ili yanapotokea yasituvuruge sana. Kwa mfano, fedha yoyote ile ambayo iko kwa mtu wala usiipangie bajeti kwa sababu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started