Karibu Mezani Chakula Kipo Tayari

Ni rahisi sana kuongea kuliko kufanya. Ni rahisi kukaribishwa mezani chakula lakini usijue mchakato wa kupatikana kwa kile chakula. Sehemu ambayo watu huwa wanakula na kulipa baadaye ni kwenye mgahawa. Utaona ni rahisi kuagiza chakula na kuletewa haraka mezani lakini nyuma yake kuna mchakato uandaaji wa kile chakula. Hata unapoisoma hii makala kukufikia jua nyuma …

Kushinda Au Kushindwa Kuna Anza Hivi

Kushinda au kushindwa kuna anza na namna unavyochagua kufanya chochote kile ulichochagua kufanya. Umechagua kufanya mambo kwa namna gani? Kuna vitu ambavyo jinsi tu mwenyewe unavyofanya unaona vinakubariki. Na vingine jinsi tu unavyofanya unaona vina kulaani kabisa. Nilishawahi kukuambia kuwa, baraka huwa haiji kwa maneno. Bali baraka huwa inakuja kwa kufanya kitu. Na siyo tu …

Kama Unapenda Kupata Fedha Tengeneza Hiki Kwanza

Tengeneza mahusiano yako na fedha vizuri. Hili ni jambo ambalo hujawahi kufundishwa popote, lakini ni muhimu sana. Mahusiano yako na fedha ni muhimu mno. Kinachowafanya wengine wafuatwe na fedha, huku wengine wakizitafuta kwa shida ni mahusiano ambayo mtu amejijenga na fedha. Fedha inaenda kule inakopendwa na inakimbia kule isikopendwa. Ipende fedha, ithamini na ione kama …

Acha Kuteseka Na Hiki Kitu Hapa

Kwa jinsi akili ya binadamu jinsi ilivyo, wako watu ambao wanachoka bila hata ya kufanya kazi kwa sababu ya kufikiria vitu ambavyo hata havipo. Wako watu ambao wanakuwa wanatengeneza picha ya vitu ambavyo hata havipo, kisha ile picha ya vitu waliyoitengeneza inakuja kuwatesa na kuwatengeneza kweli. Aliyekuwa mwanafalsafa wa ustoa, mwanafalsafa Seneca aliwahi kunukuliwa akisema, …

Leo Unakwenda Kuwa Hivi

Aliyekuwa mwanafalsafa wa ustoa mwanafalsafa Epictetus aliwahi kunukuliwa akisema, unakuwa kile unachokipa muda zaidi, unakuwa kile unachowaza, unakuwa kile unachokipa umakini zaidi. Leo nenda kachague kuwa makini kwenye kile unachofanya ili upate matokeo mazuri. Leo unakwenda kuwa vile utakavyotaka kuwa kadiri ya maamuzi yako. Ukichagua leo unataka siku yako iweje na itakua vile ulivyotaka. Utapata …

Kama Ungekuwa Unajua Ungejiandaa Na Hili

Hakuna mtu yeyote anayejua ni wakati gani mwizi atakuja kumwibia. Kama ungelikuwa unajua saa ya mwizi, ungelikesha ili usiibiwe. Mara nyingi matukio yanayotokea kwenye maisha yetu, huwa yanakuja yakitukuta hatujajiandaa. Kwa mfano, majanga mbalimbali, vifo vinavyotokea, ajali na nk. Ni vizuri sana kujiandaa na kile usichotarajia kutokea ili kikitokea kisije kukushtua sana. Kwa kuwa hujui …

Design a site like this with WordPress.com
Get started