Kama Hupokei Sana, Utakua Unakosea Hapa

Msingi wa mafanikio uko katika nipe nikupe. Ni asili jinsi ilivyo, kama hutatoa basi hutapokea. Hakuna muujiza wa maisha, zaidi ya kutoa na kupokea. Ukiona hupati matokeo mazuri, basi unatoa mchakato wa hovyo. Kwa sababu, navyoijua asili, haiwezi kukupa kile usichotoa yaani upande mahindi halafu uvune ngano ni kitu ambacho hakipo kabisa. Kama hupokei sana, …

Watu Huwa Hawapendi Watu Wa Namna Hii

Unapofanya kitu chochote kile, hakikisha kinatoka ndani ya moyo wako, kwa sababu watu huwa hawapendi watu wanafiki kabisa. Kama unajali, hakikisha unajali kweli na inatoka moyoni na siyo kufanya hivyo kwa unafiki ili kupata kitu fulani. Kama unamsifia mtu msifie mtu kweli inayotoka moyoni na siyo kumsifia kiunafiki ili uweze kukubaliana naye juu ya kitu …

Kitu Cha Kufanya Pale Unapoona Wengine Wanakosea

Aliyekuwa mwanafalsafa wa ustoa na mtawala wa Roma, mwanafalsafa Marcus Aurelius aliwahi kunukuliwa akisema, pale unapoona wengine wanakosea,wape maelekezo sahihi, na kama huwezi kuwapa maelekezo sahihi basi kaa kimya. Huenda kuna watu ambao unaona wanakosea kitu cha kufanya ni kuwapa maelekezo sahihi ili wasifanye makosa ambayo wanafanya. Na siyo kila mtu unaweza kumwambia, wale ambao …

Hii Ndiyo Kazi Yako Ya Kwanza Kwenye Maisha

Ukishazaliwa tu hapa duniani kazi yako ya kwanza kabisa ni kushughulika na watu. Ni kitu gani ambacho unaweza kufanya bila kushughulika na watu? HAKUNA. Kila kazi tunayofanya inahitaji kushughulika na watu wengine ili tuweze kupata kile tunachotaka. Kama kazi yako ya kwanza ni kushughulika na watu unapaswa kujua saikolojia ya kushughulika na watu. Kushughulika na …

Jinsi Ya Kukimbia Mbio Zako Mwenyewe

Kiufupi tu, maisha ni mbio za muda mrefu yaani marathon na sio mbio za muda mfupi yaani Sprint. Hutakiwi kukimbia mbio hizo hapo kwa pupa kwa sababu utachoka haraka na kuishia njiani. Utajikuta humalizi safari yako kwa sababu ya kwenda pupa. Hata ukifanya mazoezi kwa haraka sana utajikuta unafanya kidogo na unachoka lakini ukienda taratibu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started