Shawishi Watu Kwa Matokeo Ya Sasa

Usitumie wakati uliopita kuwashawishi watu wakati wa sasa.Bali tumia wakati wa sasa kushawishi watu kwa matokeo unayozalisha sasa na siyo ya huko nyuma. Wako watu ambao kazi yao ni kujisifia tu, kwa mfano, mimi nilikuwa mtu ninayefanya kazi sana na nilifanikiwa. Ndiyo, ulikuwa unafanya kazi sana, vipi kama ukijituma tena leo ili utushawishi watu wa …

Jikamate Wewe Mwenyewe Kabla Hujawakamata Watu Wengine

Mara nyingi mambo yanapokuwa yanaenda ndivyo sivyo huwa tunatafuta watu wa kuwalaumu kwanza. Ni asili ya binadamu kuangalia nani amekosea na siyo kujiuliza na yeye amechangiaje kutokea kwa tatizo. Kabla hujawakamata wengine, jikamate wewe mwenyewe kwanza. Kabla hujawalaumu wengine juu ya kitu chochote kile, jiulaumu wewe mwenyewe kwanza. Kwa tatizo lolote lile linalotokea, kabla hujawalaumu …

Kuwa Na Namna Ya Kupima Mafanikio Yako

Kwenye safari ya mafanikio, ni muhimu sana kujua ni maana ya mafanikio kwako. Kama hujui maana ya mafanikio kwako mwenyewe utaishia kukimbizana na mambo ya watu wengine. Unatakiwa kukaa chini leo, jiulize nini maana ya mafanikio kwako au mafanikio yana maana gani kwako? Kila mtu ana maana tofauti tofauti juu ya mafanikio. Utashangaa ukiwauliza watu …

Mambo Ya Kuzingatia Kama Unataka Kuboresha Huduma Kwa Wateja ( Hii Inamhusu Kila Mtu)

Kiasili maisha yetu yamejengwa katika msingi wa kibiashara. Ikiwa na maana kwamba tunapaswa kutoa kitu ili tupate kile tunachotaka. Na uzuri ni kwamba, kila biashara unayofanya inapaswa kuwa na wateja. Wateja wa biashara yako ndiyo wanapaswa kuwa msingi mkuu wa maamuzi yote katika biashara. Hata familia yako ni biashara, hivyo msingi mkuu wa maamuzi unapaswa …

Maisha Yanahitaji Kitu Hiki Muhimu Kutoka Kwako

Ukiangalia watu wengi wanashindwa kupata matokeo mazuri kwa sababu ya kukosa msimamo juu ya kitu hiko. Maisha yanahitaji kitu kimoja kutoka kwako ambacho ni msimamo. Ukiwa na msimamo utapata kweli kile unachomaanisha kwenye maisha yako. Ila ukikosa msimamo hutakipata kweli unachomaanisha kwenye maisha yako. Kama unapata matokeo mazuri basi una nguvu kubwa ya msimamo ambayo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started