Njia Nzuri Ya Kumbadilisha Mwenza Wako
Mara nyingi sisi binadamu huwa tunapenda kujipa kazi kubwa ya kuwa viranja wa dunia. Ni kazi ambayo iko nje ya uwezo wetu kwa sababu hakuna hata anayeiweza kuifanya. Huwa tunatumia nguvu kubwa kutaka kuwabadilisha watu wawe kama vile tunavyotaka sisi kwa mara moja kitu ambacho hakiwezekani. Mabadiliko yanawezekana kwa mwenza wako lakini siyo kwa haraka …
Njia Bora Ya Kujenga Utajiri Mkubwa
Mwandishi mmoja aliwahi kusema, njia ya moja ya kuishi muda mrefu hapa duniani ni kuwa mwangalifu. Ni kweli, kuwa mwangalifu kwenye kila eneo la maisha yako na utaishi kwa muda mrefu. Na njia bora ya kujenga utajiri mkubwa ni kuwa na maisha marefu ambapo una miaka mingi na nguvu za kufanya kazi. Linda afya yako …
Kuwa Mwema Na Tenda Mema
Usiishie Kusoma Tu, Lazima Ufanye Hiki
Usisome tu, lazima usome kuongoza. Kile unachojifunza lazima ukipeleke katika uhalisia wa matendo. Aliyekuwa mwanafalsafa wa ustoa mwanafalsafa Marcus Aurelius aliwahi kunukuliwa akisema, Jipe wakati wa kujifunza kitu kipya na kizuri, na uache kuzungushwa." Hakikisha unajipa wakati wa kujifunza kitu kipya lakini pia upate wakati wa kukifanyia kazi kile ulichojifunza. Kama unasoma au kujifunza na …
Asili Huwa Ni Mwamuzi Mzuri
Jinsi Ya Kufikia Malengo Yako
Ni kuweka mipango inayopimika. Mtu ambaye anapima malengo yake kwa namba ni rahisi kuyafikia kuliko yule mtu ambaye ana malengo halafu hana namna ya kupima malengo yake. Njia rahisi ya kufikia malengo yako ni kucheza na namba muhimu katika kile unachofanya. Kwa mfano, kama unataka kufikia utajiri lazima uwe na malengo ni aina gani ya …
Nguvu Ya Upendo
Cheza Na Soko Utapata Kile Unachotaka
Mambo Mawili Usiyajua Kuhusu Nidhamu
Kumbuka wewe ni binadamu. Kuna wakati unateleza na kufanya kile ambacho unajua kabisa siyo sahihi. Kukosea ni sehemu ya maisha ya binadamu.Dunia isikukulaghai kwa kukujengea hatia katika hali ya kukosea na kujiona haufai. Katika maisha ni muhimu kuwa na nidhamu. Nidhamu ni daraja la mafanikio. Lakini unapaswa kutambua kuwa masharti yakiwa mengi sana yatakubana na …