Dunia isingekuwa hivi ilivyo leo kama watu wasingekuwa wanafanya uvumbuzi. Dunia inazidi kuwa bora kwa sababu watu wanazidi kuvumbua vitu vipya kila siku. Uvumbuzi unasaidia maisha ya watu kuwa bora. Leo nimekuandalia maswali mawili yanayokwenda kuchokoza fikra za kivumbuzi ndani yako. Swali namba moja, Kwa nini. Kila unapokutana na kitu mbele yako jiulize kwa nini.Ukiwa …
Continue reading "Maswali Mawili Yanayochokoza Fikra Za Uvumbuzi"