Kwenye maisha, kuna kauli rahisi lakini nzito sana:“Usipuuzie unachosikia, bali chukua tahadhari.” Mara nyingi, tunapewa ishara, maonyo, ushauri, mitazamo, au hata taarifa ambazo zingeweza kutuokoa—lakini tunazipuuza.Tunajipa moyo kwamba bado muda upo, bado mambo hayajaharibika, bado tunaweza kugeuza mambo baadaye. Lakini ukweli ni kwamba:Maisha hayasubiri. Matokeo hayasubiri. Hasara haisubiri. Kama kitu ni kweli, chukua hatua.Kama siyo …
Hakuna Mahusiano Yanayoweza Kusimama Bila Kitu Hiki Hapa
Kwenye maisha, hakuna mahusiano ambayo yanaweza kusimama bila msamaha.Hakuna ndoa, hakuna urafiki, hakuna undugu, na hata hakuna uhusiano na wewe mwenyewe unaoweza kustawi bila uwezo huu muhimu wa moyo. Msamaha ndiyo pumzi ya mahusiano Mahusiano yote, hata yale mazuri zaidi, hupitia mitikisiko: Tunakoseana Tunapishana kauli Tunachokana Tunapishana matarajio Lakini kitu kimoja ambacho hurudisha uhai pale …
Continue reading "Hakuna Mahusiano Yanayoweza Kusimama Bila Kitu Hiki Hapa"
MAISHA NI MAUZO – NA KILA MTU ANA KITU ANACHOUZA
Ukiiangalia kwa undani, utagundua kwamba maisha yote ni mauzo.Kila siku, kila mahali, kila mtu anauza kitu—even kama hajui. Mfanyabiashara anauza bidhaa. Mfanyakazi anauza ujuzi wake. Mwalimu anauza maarifa. Kiongozi anauza maono. Mpenzi anauza upendo na tabia njema. Hata mtoto anauza ushawishi ili apate kile anachotaka. Sote ni wauzaji. Swali ni unauza nini na unauzaje? Kama …
Continue reading "MAISHA NI MAUZO – NA KILA MTU ANA KITU ANACHOUZA"
USIJIUMIZE KWA TAFSIRI ZAKO MWENYEWE
Falsafa ya Ustoa – Epictetus Moja ya mafundisho makubwa ya wanafalsafa wa Ustoa ni hili la Epictetus:“Kinachoumiza mwanadamu siyo kile kilichotokea, bali tafsiri yake kuhusu kile kilichotokea.” Hii ni kauli fupi, lakini ndani yake imo hekima ya maisha ya kila siku. Tukio halina nguvu ya kukuumiza — Tafsiri yako ndiyo inauma Ukitendewa vibaya, kupuuzwa, kuongezewa …
HANGAIKA NA MAISHA YAKO — MATATIZO ULIYONAYO TAYARI YANAKUTOSHA
Kwenye maisha, mara nyingi tunajikuta tunabeba mzigo ambao si wetu. Tunataka kujua maisha ya watu wengine yanaendaje, wanapitia nini, wana shida gani, wana makosa gani, au wanafanya nini kwa sasa.Lakini tukisahau jambo muhimu:Yale tuliyonayo tayari yanatutosha. Usinunue matatizo ya watu—yako tayari ni mzito Kila mtu ana mzigo wake.Kila mtu ana vita vyake.Kila mtu ana safari …
Continue reading "HANGAIKA NA MAISHA YAKO — MATATIZO ULIYONAYO TAYARI YANAKUTOSHA"
PESA NA TIMU — NGUZO MBILI ZINAZOAMUA HATIMA YA BIASHARA YAKO
Kila biashara duniani inakumbana na changamoto, lakini kuna nguzo mbili ambazo zikitetereka, biashara yote inatikisika:PESA na TIMU.Hizi ndizo damu na mifupa ya biashara. Bila mojawapo, hakuna safari, hakuna kasi, hakuna matokeo. Pesa: Damu ya biashara Biashara nyingi zinateseka kwa sababu hazina pesa za kutosha kufanya kile zinachopaswa kufanya.Pesa ndiyo inayowezesha biashara:— kununua bidhaa,— kulipa mishahara,— …
Continue reading "PESA NA TIMU — NGUZO MBILI ZINAZOAMUA HATIMA YA BIASHARA YAKO"
Toa Matokeo, Siyo Sababu — Siri ya Kuheshimika na Kuaminika
Kwenye maisha, watu hawavutiwi na sababu zako.Hawataki kujua ulipitia nini, ulizuiliwa na nini, au kwanini hukuweza kufanya kile ulichotakiwa kufanya.Watu wanataka matokeo.Matokeo ndiyo lugha pekee dunia inaelewa. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayetoa sababu na yule anayetoa matokeo.Sababu ni rahisi.Kila mtu anaweza kuja na maelezo marefu ya kwanini hajafanya kitu.Lakini matokeo ni ya …
Continue reading "Toa Matokeo, Siyo Sababu — Siri ya Kuheshimika na Kuaminika"
Penda Hatima — Amor Fati
Falsafa ya Ustoa Inayokupa Uhuru, Utulivu na Ujasiri wa Kuishi Maisha Halisia Kwenye falsafa ya Ustoa (Stoicism), kuna wazo moja la kipekee, lenye nguvu kuliko malalamiko yote ya mwanadamu, na lenye uwezo wa kubadilisha maisha yako kabisa.Wazo hilo linaitwa Amor Fati, tafsiri yake: “Penda hatima yako.” Si kukubali tu kinachokupata.Si kuvumilia tu kinachotokea.Ni zaidi ya …
GO ALL IN — Ndio Njia Pekee ya Kupata Matokeo Makubwa
Kama unaenda kufukuza ndoto, basi fukuza kwa nguvu zote.Hakuna mafanikio ya kweli yanayokuja kwa mtu anayefanya nusu nusu. Hakuna matokeo makubwa yanayotokana na kujitoa kwa kiwango cha chini. Maisha yanaheshimu wale wanaoingia uwanjani wakiwa wametoa kila kitu, bila kubakiza nguvu mfukoni. Watu wengi wanataka mafanikio, lakini hawako tayari kuyafuata kikamilifu. Wanataka matokeo ya "full-time" huku …
Continue reading "GO ALL IN — Ndio Njia Pekee ya Kupata Matokeo Makubwa"
FANYA TU — Kwa Ajili Yako, Kwa Ajili ya Wengine, Kwa Sababu Ni WAJIBU Wako
Kuna wakati unajikuta huna nguvu, hujisikii kufanya chochote, na kila sababu ya kuahirisha inaonekana ina uzito kuliko kufanya. Lakini katika maisha, si kila kitu tunafanya kwa sababu tunajisikia kufanya—mara nyingi tunayafanya kwa sababu ni wajibu wetu, na kwa sababu kuna watu wanaotutegemea. Kuna watu maisha yao yameshikilia nguvu na uamuzi wako wa leo. Kuna watoto, …
Continue reading "FANYA TU — Kwa Ajili Yako, Kwa Ajili ya Wengine, Kwa Sababu Ni WAJIBU Wako"