Kuna dhana iliyojengeka kwa wengi: Ukiwa na akili sana, utafanikiwa sana. Lakini ukiangalia maisha halisi, utaona kitu cha kushangaza. Wapo watu wenye akili sana darasani —lakini baadaye wanapotea kwenye maisha. Na wapo watu wa kawaida kabisa kitaaluma —lakini wanapiga hatua kubwa sana kimaisha. Swali linakuja: Kwa nini hii hutokea? Jibu ni hili:Mafanikio hayategemei akili pekee …
Continue reading "Kwa Nini Watu Wenye Akili Nyingi Wakati Mwingine Hushindwa Kufanikiwa"