Watu Wanakazana Kuibadilisha Dunia Lakini Wanasahau Kubadilisha Kitu Hiki Muhimu Kwenye Maisha Yao

Habari mpendwa rafiki? Hongera sana kwa siku hii nyingine bora ya leo. Kila mmoja wetu anapenda kuwa na maisha bora. Kila mmoja wetu anapambana kila siku ili kufikia nafasi nzuri ya juu na kadiri unavyokwenda juu katika safari ya mafanikio ndivyo unavyozidi kupumua vizuri kwa sababu kila hatua unayopiga unaenda kuvuta pumzi nzuri zaidi. Ni …

Hii Ndiyo Aibu Ya Wote Katika Familia Yako

Unaendeleaje rafiki yangu? Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo hivyo basi, leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako. Mwalimu wa kwanza katika malezi ya mtoto ni wazazi. Wazazi ndiyo wamepewa jukumu hilo la kuhakikisha watoto wanalelewa vizuri. Kadiri ya siku zinavyokwenda jukumu la kulea watoto limeshakuwa ni wasaidizi wa kazi …

Jambo Muhimu La Kuzingatia Kama Unapenda Kupata Ushindi Kila Siku

Mpendwa Rafiki, Mara nyingi huwa tunapenda kushinda na ni vizuri kweli mtu kujiandaa kushinda kuliko kushindwa. Lakini tunapaswa kuelewa kuwa maisha yako kama  mchezo wa mpira wa miguu. Kuna wakati mwingine unaweza kushinda na wakati mwingine usishinde na unaweza ukapata matokeo ya bila bila kabisa muda mwingine yaani hujashinda wala hujashindwa. Kwahiyo, unapojikuta katika hali …

Hakuna Kitu Kigumu Kufanya Kama Hiki Kwenye Maisha Yako

Hakuna kitu kigumu kama kumbadilisha mtu tabia. Watu wanataka kuishi kama vile walivyo hata kama unaona kitu fulani ni cha msaada kwao bado watakuona wewe unajisumbua kwa kile unachotaka kufanya. Watu wamezaliwa na tabia zao ambazo zina zaidi ya miaka ishirini leo hii uje umbadilishe mtu ni ngumu sana. Hata umwamasishe mtu kiasi gani juu …

Mfahamu Mkulima Wa Ajabu Katika Karne Ya 21

Mpendwa rafiki, Huwa tunafahamu kuwa ili mkulima aendelee kulima na kupata mazao yake anatakiwa asifanye kosa moja kwani akifanya kosa hilo hatoweza kuendelea na ukulima wake. Kuna kitu kimoja tunaalikwa kujifunza kupitia mkulima. Mkulima wa ajabu ni shule anayevuna mazao yake na kula yote bila kuweka mbegu pembeni. Hivyo kama mkulima amekula mbegu maana yake …

Jinsi Ya Kukabiliana Na Madeni Katika Biashara Na Huduma Nyingine

Habari ya leo rafiki? Hongera kwa zawadi ya maisha ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora nay a kipekee sana kwako. Ni siku mpya ya wiki ukiwa na ngvu za kwenda kufanya makubwa ndani ya wiki hii na siku ya leo. Rafiki, huwa umeshawahi kusikia msemo mmoja unaosema kukopa harusi kulipa matanga. …

Hii Ndiyo Sifa Moja Kuu Ya Mabadiliko Yoyote Yale

Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri sana ya siku ya leo. Leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako. Amua kwenda kushinda na siyo kushindwa. Kila siku ni siku mpya na ndiyo siku ya kipekee katika maisha yako kwa sababu leo ndiyo siku ambayo una uhakika nayo kuliko siku zote unazotarajia kuwa nazo. Tunaishi …

Hatua Mbili Unazopitia Katika Maisha Yako,Je unajua Uko Hatua Gani? Soma Uweze Kujua

Habari ya leo mpendwa rafiki? Hongera kwa zawadi nzuri sana ya siku ya leo kwani hii ni ishara kuwa leo ni siku bora kwako na ya ushindi mkubwa kwa sababu kuamka salama nao ni ushindi tosha wa siku kwani siyo wote wameweza kuamka salama leo. Rafiki, hapo mwanzo nilijiwekea utaratibu wa kukushirikisha uchambuzi wa kitu …

Ili Uendelee Kupata Matokeo Bora, Endelea Kufanya Kitu Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki? Ili tuweze kupika vyakula vyetu kila siku tunahitaji tuwe na nishati. Nishati ndiyo inayowezesha moto uweze kuwaka aidha ni jiko la kuni, gesi, mkaa na n.k. Lakini, leo napenda tujifunze kitu muhimu kutoka katika jiko la kuni. Kila mmoja wetu nafikiri analifahamu jiko la kuni kwani ndiyo jiko linalotumiwa na …

Kama Unapitia Changamoto Yoyote Ile Usiache Kusoma Hapa

Unaendeleaje rafiki? Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Umepata bahati ya kustahilishwa kuiona siku hii ya leo hivyo hakikisha unaitendea haki siku yako kwani haitokuja kutokea tena. Rafiki, katika maisha yetu sisi hapa duniani tunaishi mara moja tu. Usitegemee utakuja kupata nafasi nyingine ya kuja kuishi. Kama ulikuwa una mipango yako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started