Hii Ndiyo Siku Inayoonewa Na Kubebeshwa Mizigo Na Watu Wengi

Tunapochelewa kufanya maamuzi huwa mara nyingi tunakuja kupata hasara baadaye, watu wengi wameshazoea kutumia msemo huu laiti ningelijua ningelifanya yale maamuzi mapema na kwa sasa hivi ningekuwa mbali. Kila mmoja wetu hapa kuna mahali alishawahi kuchelewa kufanya maamuzi hivyo kilichofuata ni majuto tu. Hauna haja sasa ya kuendelea na kukumbuka nay ale makosa uliyofanya kwa …

Ukiambatana Na Huyu Lazima Utakua Mshindi Tu

Habari gani mpendwa rafiki? Mtoto mmoja alizaliwa msituni  katika nchi fulani, baada ya mzazi wake kukimbia makazi na familia yake kwa sababu ya vita. Hivyo ilivyotokea mlipuko wa bomu kule msituni yule mama alikimbia na kuondoka na watoto wakubwa na kumuacha yule mtoto mdogo kule msituni. Mtoto yule alikuwa ni mchanga sana kwani alikuwa na …

Chochote Tunachokitafuta Katika Maisha Yetu Kipo Hapa

Habari gani rafiki? Natumaini unaendelea vizuri sana. leo ni siku nyingine bora nay a kipekee sana kwetu, hakika sisi ni washindi na tumezaliwa kushinda ndiyo maana hata leo tunaendelea kuvuta pumzi. Kila mtu mmoja wetu kuna kitu anachotafuta hapa duniani je kile tunachokitafuta kinatoka wapi sasa? Chochote ambacho tunakitafuta yawe ni mafanikio au yawe ni …

Zawadi Muhimu Ya Kumpatia Mtu Aliyekuamini

Mpendwa rafiki? Kama ni sehemu ambayo mtu unatakiwa kumuonesha kuwa unaweza ni pale anapoamua kufanya maamuzi umfanyie kitu fulani. Sehemu ya kujiuza ni pale mtu anapoamua kukukabizi kazi yako kwa sababu tu amekuamini, ameacha watu wote na kuja kwako hivyo ni nafasi ya kipekee na wewe kumtendea haki. Watu wakikuamini hutakiwi kufanya kosa unatakiwa kufanya …

Kama Unataka Watu Wakupende Fanya Kitu Hiki Kimoja Tu

Tunaishi kadiri ya sheria ya asili hapa duniani. Unapokea kile unachotoa kwa wengine hivyo usitegemee kupokea kama hakuna unachotoa chochote. Tunapenda watu watufanyie vile tunavyotaka lakini sisi hatutaki kujifanyia sisi wenyewe vile tunavyotaka kufanyiwa. Hakuna mtu atakayeweza kuvutiwa na maisha yako kama wewe mwenyewe huyapendi na kuyajali maisha yako. unaweza ukamkuta mtu anakujali au kukupenda …

Chezea Vitu Vyote Kutoka Kwa Mtu Lakini Usichezee Kitu Hiki

Habari ya leo rafiki na mpendwa msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri na leo ni siku bora sana kwetu kwenda kufanya kile tulichopanga kufanya na kutegemea kupata matokeo bora sana. Kila mmoja wetu kula kile anachoamini kadiri ya imani yake. Mimi nina imani yangu na wewe unaimani yako. licha ya kila mtu …

Hii Ndiyo Biashara Kichaa Inayowaumiza Watu Wengi

Rafiki,  kabla ya kuja kwa ajira watu walikuwa wanajitegemea wao wenyewe kwa kujifanyia shughuli zao kama vile kufanya biashara au kulima ili waweze kupata kipato. Tokea ajira au mfumo wa ajira uanzishwe mpaka sasa unazaidi ya miaka mia mbili lakini kabla ya hapo watu walikuwa wanaendesha maisha kawaida tu bila hata kutegemea ajira. Mapinduzi ya …

Njia Ya Kuwazuia Watu Kuongea Juu Ya Maisha Yako

Kitu ambacho huwezi kukizuia ni kuwazuia watu kuongea. Hata ufanye kitu gani kizuri lazima tu watu wataongea ndiyo maana hakuna kazi ngumu kama ya kumfurahisha kila mtu hapa duniani. Mtu pekee ambaye unaweza kumfurahisha basi ni wewe mwenye. Binadamu ni viumbe vya hisia na kila mmoja ana matatizo yake hivyo basi unachotakiwa kufanya popote pale …

Uaminifu Wa Kwanza Unaopaswa Kuwa nao

Kuna mambo ambayo ukifanya unakuwa  unajipunguzia heshima sana katika maisha yako. Mara nyingi watu wanajipunguzia heshima na kuonekana siyo watu makini kwenye kitu kimoja. Mtu yeyote anayekuwa mwaminifu katika kitu hicho huwa anaonekana amestarabika sana lakini katika jamii yetu ni watu adimu sana kuwapata. Watu huwa wanalalamika sana pale wanapokuwa wanakwenda sehemu na kukuta watu …

Chochote Unachofanya Fanya Kwa Sababu Hii Moja

Rafiki, Unapokuwa unafanya kitu chochote fanya kwa moyo lakini siyo kwa unafiki. Huenda kuna misaada unawasaidia wengine au kuna mtu unamsaidia kitu lakini ndani yako hupendi kufanya hivyo ila kwa nje unajionesha unapenda kufanya hivyo sasa huo ndiyo unafiki wenyewe. Au muda mwingine mtu anaweza kabisa kujua kitu fulani lakini ataweza kuja kwako na kujifanya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started