Unajivunia Ufundi Gani Kati Ya Huu Hapa?

Mpendwa rafiki, Kama kitu ambacho dunia imebarikiwa basi ni kuwa na mafundi wengi. Dunia ina mafundi wengi je ufundi ulionao wewe una athari chanya au una athari hasi kwa jamii? Tuna mafundi wazuri kweli duniani wanaotusaidia kutengeneza mambo mbalimbali yanayofanya maisha yetu yaende kwa kupata mahitaji mbalimbali. tukiachana na mafundi chanya ambao ndiyo mafundi wanaoifanya …

Mafanikio Makubwa Unayojinyima Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Hongera sana kwa kumaliza juma la 11 na hongera sana kwa kuanza juma la 12 leo. Kumbuka wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda licha ya yote unayopitia kwenye maisha yako. Huenda kila mmoja wetu ana ndoto kubwa sana katika maisha yake. Ndani ya …

Hakuna Binadamu Yeyote Ambaye Hayuko Kwenye Kitu Hiki

Hakuna binadamu yeyote ambaye hayuko katika mahusiano. Binadamu ni mahusiano yaani kila mmoja ana kitu kinachoitwa vinasaba (DNA). Lazima uko katika mahusiano kwa sababu una mama,baba, ndugu na watu wengine wote ukisema huna mahusiano na mtu yeyote hapa duniani basi wewe utakua siyo binadamu. Familia ndiyo mama wa jamii kwani familia ndiyo inazalisha jamii hivyo …

Kitu Pekee Unachomiliki Katika Maisha Yako

Vitu vyote tunavyomiliki katika maisha yetu siyo vya kwetu. Umeazimwa kwa muda tu rafiki itakuja siku utanyang’anywa. Usiseme nimepoteza sema  nimerudisha. Huwa tunapoteza vitu vingi sana hivyo usilalamike na kusema nimepoteza sema nimerudisha. Vitu tulivyonavyo kweli tumepewa kwa muda, nyumba, gari, mke, mume, watoto, mali yaani kila kitu tumepewa kwa muda tu hivyo vitumie vizuri …

Unapofanya Kitu Hiki Lazima Watu Wakuige

Mpendwa rafiki, Hakuna kitu kigumu kama kujenga jina. Inahitaji kazi, nguvu, juhudi, nidhamu, uaminifu na uadilifu. Hakuna kitu karahisi hata kidogo lakini inawezekana kwa kila mtu ambaye ana nia. Wote tumezaliwa watupu lakini mbona leo tunamiliki vitu ambavyo hatukuzaliwa navyo? Hii ni ishara ya ushindi kwetu kuwa kila mtu anaweza kadiri ya nafasi yake. Hakuna …

Usiteme Bigijii Kwa Karanga Za Kuonjeshwa

Kuna mwanamziki mmoja aliimba unatema bikijii kwa karanga za kuonjeshwa. Mara nyingi tumekuwa ni watu wa kuacha ndoto zetu pale tunaposikia fursa mpya. Ndoto zetu zimekuwa zinapotea kama vile mshumaa unavyopotea kwenye upepo. Ni mambo mangapi ulikuwa umepanga kufanya mwanzoni kabisa wa mwaka huu? Lakini kwa sasa wengi wameshakubali kutema bigijii zao kwa karanga za …

Kitu Pekee Kinachogundua Ukweli

Mpendwa rafiki, Kama unaona hukosolewi katika kitu chochote unachofanya basi kuna weza kuwa na haya, huenda hicho unachofanya ni cha kawaida sana. watu wanaona ni cha kawaida ndiyo maana hawakuambii chochote. Lakini kama unafanya kitu tofauti lazima wataongea na wata kukosoa hivyo ukiona unafanya kitu na watu hawakukosoi jua kabisa unafanya kitu cha kawaida sana …

Kwanini Watu Wanapenda Sana Giza Kuliko Nuru?

Matendo ya maisha yetu yana ishara mbalimbali kama ni matendo mazuri au mabaya. Watu wengi wanapenda sana giza je ni kwa sababu gani watu wengi wanapenda sana giza kuliko mwanga?. Mara nyingi watu wanapenda matendo yao yasijulikane na watu hii ni kwa sababu wengi hawapendi kuonesha maovu yao hadharani na giza huwa lina ficha mengi …

Fahamu Kofia Muhimu Unazopaswa Kuvaa Katika Maisha Yako

Unavaa kofia ngapi? Una vaa kofia gani? Kiasili kila mtu ni kiongozi. Hata kama wewe huwaongozi wengine lakini unajiongoza mwenyewe katika maisha yako. kama ukiweza kujiongoza mwenyewe basi una sifa za kuweka kuwaongoza wengine. changamoto kubwa leo ni watu kutovaa kofia zao vizuri za uongozi. Rafiki, katika hali ya kawaida kila mtu unayemwona amevaa kofia …

Njia Rahisi Ya Kujijua Kama Bado Hauna Uhuru Wa Kifedha

Fedha ni muhimu katika maisha yetu hilo halina ubishi. Karibu kila kitu katika maisha kinaendeshwa na fedha. Anayesema fedha siyo muhimu huyo ndiyo yule ambaye analala anafikiria kesho atapata wapi hela ya kula. Ukiwa huna hela ukapata hela basi utakua na furaha na hapo ndipo utaweza kujua kama watu wengi wameweka furaha zao katika pesa. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started