Jinsi Ya Kujiua Wewe Mwenyewe

Maisha ya watu yamekuwa hayana furaha badala yake ni huzuni. Watu wanaishi ili siku ziende lakini ile ladha ya maisha ndani yao hakuna. Wengi wana utupu ndani yao kwa sababu wengine hawajawahi hata kuishi maisha yao. Huenda mpaka leo wanaishi maisha ya mtu mwingine, utawezaje kuona ladha ya maisha na kuyafurahia maisha yako kama unaishi …

Kwanini Wewe Ni Sababu Ya Mafanikio Ya Dunia

Bado watu wengi wanaishi lakini hawajioni kama hata wana thamani yoyote ile hapa duniani. Wengine wameshakata tamaa ya maisha wanasubiria tu siku zao za kuishi zikamilike. Watu wamekuwa ni wataalamu wa kulalamika huku wakitafuta mtu wa kumsingizia kwanini yuko hivyo. Ukienda kumuuliza mtu aliyekosa tumaini la maisha ataanza kukushia orodha ya watu waliomfanya we hivyo …

Kazi Yoyote Unayofanya Unamfanyia Mtu Huyu Hapa

Katika kazi zetu tunazofanya kila mmoja anajijua yuko vizuri katika kitu gani. Wengine wanajua kabisa kazi yoyote inayopita katika mikono yao basi wanahakikisha wanatengeneza jina na kuacha alama kupitia kazi hiyo. Kuna wengine wanafanya kazi ili mradi tu wamalize au wapate hela. Kufanya kazi tu upate hela ni utumwa fanya kazi kwa kuipenda na kutoa …

Huu Ndiyo Msemo Unaokurudisha Nyuma

Kuna siku moja nilikuwa naongea na rafiki zangu sasa katika yale mazungumzo mmoja wa rafiki akasema kweli sisi watanzania hatujali muda hii ni baada ya kupata fundisho kutoka kwa mtu aliyewekeana miadi ya kukutana  muda fulani na mtu huyo hakuweza kufika kwa muda muafaka. Akaangaza kutolea mfano wa anaofanya nao kazi ni jamii ya watu …

Kama Wote Tungekuwa Tunathubutu Wakati Huu….

Kuishi na kuendelea kufanya kila siku yale tunayoyapenda bila kuacha hata siku moja inahitaji uwe na nishati moja itakayokusaidia ambayo nidhamu. Nidhamu ndiyo inayotufanya tofautiane na watu wengine katika maeneo mengi sana. Tunamwitaji ndhamu kwenye kila eneo la maisha yetu, bila nidhamu maisha yetu yanakuwa ya hovyo kwa sababu watu watafanya mambo vile wanavyojisikia na …

Kozi Pekee Ambayo Huwezi Kwenda Kusomea

Mpendwa rafiki, Ni kawaida yetu kwenda shule kusomea mambo kozi mbalimbali. kumekuwa na kozi nyingi sana siku katika vyuo vyetu lakini kuna kozi moja ambayo haifundishwi kwenye vyuo vyetu. Hata ukisoma elimu zote unazojua wewe hapa duniani lakini hiyo kozi huwezi kuikwepa kuisoma kwa vitendo na siyo kwa nadharia. Je hiyo ni kozi gani ambayo …

Kitu Kibaya Unachojiwekea Katika Maisha Yako

Mara nyingi katika maisha ya binadamu nguvu yake iko katika imani. Imani ndiyo imebeba maisha yetu kwa ujumla na hata mipango tuliyonayo ya hapo mbeleni hata sasa tunasadiki tutaikamilisha kwa imani lakini kama hatusadiki juu ya kile tunachokifanya hatuwezi kuona matokeo. Lakini pia rafiki, binadamu ameumbwa kwa jinsi ya ajabu na moja ya kitu ambacho …

Kama Ingekuwa Tunajitoa Sehemu Zote Kama Hivi…

Huwa tunajifunza vitu sana katika jamii kwa sababu sisi wote ni sehemu ya jamii. Licha ya kutoka katika familia lakini kila mmoja wetu ni mali ya jamii na familia kazi yake ni kuzalisha wanajamii hivyo bila familia hakuna jamii. Hivyo, ukiona jamii ni mbovu basi jua tatizo liko katika familia zetu. Kama familia zetu hazina …

Kwanini hujawahi kusikia benki wakilalamika kuna chuma ulete

Mpendwa rafiki, Licha ya watu kukusanya fedha kila siku lakini kinachowarudisha watu nyuma nidhamu ya fedha. Kila fedha ina thamani inategemea inaingia katika mkono wa nani. Je mkono wako ukisha pesa inapandisha tamani ya pesa au inashusha thamani ya pesa? Thamani ya pesa iko katika mikono ya mtu je mikoni yako ni ya dhahabu katika …

Hakuna Neno Hili Kwa Yule Anayetafuta Mafanikio

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? natumaini unaendelea vizuri kupambana kuhakikisha unapata yale maisha unayotaka. Jana palijitokeza tatizo la mtandao ambalo lilikuwa nje ya uwezo wangu hivyo hivyo pole kwa usumbufu uliojitokeza kwa kukosa makala ya jana. Hivyo naomba uingie HAPA kusoma makala ya jana. Karibu sana uendelee sasa na kusoma …

Design a site like this with WordPress.com
Get started