Mbinu Ya Kukusaidia Kuamka Mapema

Kila kitu duniani ni kazi, tena siyo kazi rahisi ni kazi. Huwa tunapata shida na kuona ni usumbufu mkubwa  sana kutoka kitandani asubuhi. Wengine tunajiwekea alamu kabisa na ikishaanza kuita tunaona kama ni kero hivyo tunaenda kuizima na kurudi kulala tena huku tukivuta shuka. Kuamka mapema inahitaji nidhamu kweli na tena siyo nidhamu ya siku …

Huwezi Kufanikiwa Kitu Chochote Bila Kupitia Hatua Hii Muhimu Inayokimbiwa Na Wengi

Wengi tunapenda mafaniko lakini wengi pia hatupendi kupitia hatua fulani ya mafanikio. Wengine hawataki hata kuisikia hatua hiyo lakini cha ajabu wanaposikia mafanikio wanayapenda kweli. Hadithi za mafanikio ni nyingi na ukizisikia na kuzisoma utaona kweli mafanikio ni kitu rahisi lakini ukija kwa upande wa uhalisia ndiyo utakuja kuona kuwa hakuna kitu kirahisi. Utasikia alianza …

Mwanzo Wa Mchakato Wowote Wa Mafanikio Huwa Hivi…

Unaweza kuonekana huna kitu unachofanya lakini wewe mwenyewe ndiyo unajua. Watu wengi wanaweza kukusema kwamba huna unachokifanya lakini wewe mwenyewe ndiyo unajua. Utapata hukumu za kila aina lakini wewe mwenyewe ndiyo unajua kile unachofanya, wewe ndiyo unayopitia maumivu yote licha ya watu wote kutoyaona ila wewe mwenyewe upo unashuhudia. Huenda hata unaweka juhudi kubwa katika …

Jinsi Ya Kuwa Msimamizi Mzuri Wa Fedha Zako

Ukitaka kujua tabia ya mtu hata kama unamuona ni mpole mpe pesa tu ndiyo utajua tabia yake. Wako hata wale wazazi wakiwa hawana pesa watakua watu wazuri sana watakaa nyumbani na familia huku hata akisaidia kazi za nyumbani. Lakini akipata pesa huwezi kumuona kumkuta nyumbani hata muda kurudi atarudi usiku na muda mwingine hata chakula …

Sijawahi Kusikia Mtu Aliyefanikiwa Kwa Njia Hii Hapa

Kila mtu anapenda kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yake. Kama hupendi kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yako maana yake umekuja kushangaa tu duniani na kuwasindikiza wengine. Kila mmoja wetu anahitaji ushindi je huo ushindi tunaouhitaji tunaupata kwa njia gani? Ziko njia nyingi ambazo watu wanatumia ili kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yao. …

Sehemu Pekee Ambayo Unaweza Kusahau Shida Zako Kwa Muda

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu ana shida zake binafsi hivyo kuna sehemu ambayo tunaweza tukasahau matatizo yetu kwa muda na baada ya hapo tunaendelea nayo. Sehemu ambayo itatutenganisha na dunia kwa muda na kusahau mambo ya duniani. Kuna njia kama kufanya tahajudi yaani meditation tunaweza tukasahau dunia kwa muda hata yale matatizo tuliyokuwa nayo tunayaacha …

Kama Huna Kitu Hiki Huwezi Kuwa Na Uhuru

Kuna kitu ambacho kinataofautisha maisha yetu kuanzia kila eneo la maisha yetu. ili maisha yetu yaweze kuonekana vizuri basi kuna nguvu inayotusukuma kuwa hivyo. Tukitaka kuwa watu makini basi tunatakiwa tujenge urafiki na nidhamu. Maisha yetu yanakuwa hayana uhuru kama yakikosa kuwa na nidhamu.  Hakuna uhuru pasipo kuwa na nidhamu. Maisha yetu yamekosa uhuru kwa …

Hakuna Kazi Ngumu Kama Hii Kwenye Maisha Yako

Natumaini kila mmoja wetu anafanya kazi. Kazi ndiyo msingi wa maendeleo na hata imeandikwa kuwa asiyefanya kazi  na asile. Na mara nyingi hata kazi tunazozifanya huwa tunaona matokeo yake lakini kuna kazi nyingine ni ngumu kweli na inahitaji moyo wa kuendelea kufanya. Tunaweza kujiuliza je ni kazi gani hiyo? Je kazi ngumu ni ipi kubeba …

Kama Ukijua Kitu Hiki Umeshatatua Matatizo Yako Yote

Kama uko hai maana yake unaendelea kuvuta pumzi hivyo binadamu yoyote ambaye yuko hai hawezi kukosa changamoto. Kama huna changamoto maana yake huna kitu kikubwa unachofanya. Kama una mambo makubwa unayafanya lazima yatakuchangamotisha.  Mara nyingi kama unaishi kila siku maisha yale ya kimazoea ni ujinga kwa sababu hakuna jipya unalojifunza. Kuna zile changamoto unazojipa wewe …

Zawadi Inayodumu Kuliko Zawadi Zote

Maisha ni kuacha alama hapa duniani. Maisha ni kugusa watu wengine hapa duniani, hatujaja duniani kujiangalia sisi ila tumekuja duniani kwa ajili ya wengine. Kila mmoja amekuja kujaza nafasi yake katika hii dunia, tumekuja kukamilishana, kila mtu ana nafasi yake na uzuri ni kwamba dunia bado haijaja kabisa inahitaji watu waendelee kuijaza. Ule msemo wa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started