Kosa Kubwa Unalofanya Katika Maisha Yako

Kuishi ni dhamana na hatuko duniani kwa ajili ya kula tu bali kwa makusudi mbalimbali. Wengine wanaishi ili wale na wengine wanakula ili waishi huenda mimi au wewe miongoni mwetu tuko katika makundi haya mawili kuna wale ambao wanakula ili waishi lakini kuna wale ambao wanaishi ili wale tu. Kama bado mpaka leo hujagundua kusudi …

Wasikilize Watu Wote Lakini Siyo Mtu Huyu Hatari Kwako

Mpendwa rafiki, Kama unajua unakokwenda na umeandaa mpango kazi wako yaani ramani yako unayokabisa na unajua unakwenda wapi kwanini sasa mtu anakuja kukumbia huwezi na kwanini unampa nafasi hiyo? Kwani wakati ulipokuwa unapanga ulikuwa naye sasa kwanini katika utekelezaji uje kumshirikisha na akukatishe tamaa? Kwa mfano,wewe umepanda gari lako unajua kabisa unakokwenda halafu mtu anakuja …

Kamwe Usihukumu Siku Yako Kwa Sababu Ya Kitu Hiki

Mpendwa rafiki, Binadamu tumekuwa ni watu wa kupenda kuvuna kuliko kupanda wengi tunapenda kuona kitu ambacho tayari lakini hatupendi kuingia katika mchakato. Wengine hujikuta wanafanya mambo mengi ndani ya siku lakini wakija kujiona hawana walichovuna ndani ya siku je hii inakuwaje? Watu wanapenda kupanda na kuvuna leo yaani mtu anataka anze leo kufanya mazoezi na …

Kabla Ya Kukimbilia Mafanikio Yoyote Tengeneza Kwanza Kitu Hiki

Kila mtu anapenda kufanikiwa ndiyo maana kila siku unajituma ili kufikia kile kiwango ambacho umejiwekea kufika. Mara nyingi huwa tunakimbilia kutafuta mafanikio wakati kuna kitu muhimu ambacho tunakiruka ambacho watu wengi hawakioni. Tunakwepa sana kitu hiko mwisho wa siku tunaishia kudunda dunda tu kama kitenesi  kwa sababu hapo awali tulishindwa kujiandaa kwa hilo. Nyumba tunazoishi …

Vikao Adimu Kufanyika Katika Zama Hizi

Neno vikao siyo neno geni kulisikia katika masikio yako. Tunakaa vikao kila siku karibu maeneo mengi ya maisha yetu lakini kuna maeneo ambayo ni adimu sana kukaa vikao. Maofisini vikao ni vingi hata hatuhitaji ushahidi juu ya hilo. Kuna vile vikao ambayo tunapaswa kukaa kama cha wewe kukaa na wewe mwenyewe na kujitafakari lakini hii …

Kama Unataka Kubarikiwa Fanya Kitu Hiki Kwanza

Mpendwa rafiki, Tumeletwa duniani huku kila mmoja akiwa na kusudi lake, na kamwe hatuwezi kufanana makusudi kwa sababu wewe  una upekee wako na mimi nina upekee wangu ambao huwezi kuupata kwa mtu yeyote duniani vivyo hivyo hata kwako rafiki yangu. Kwanini wengine wanafanikiwa na wengine hawafanikiwi? Kwa sababu wengi wanataka kufanikiwa lakini hawataki kutumika kama …

Jinsi Unavyochukuliwa Msukule Bila Ya Wewe Mwenyewe Kujijua

Jamii yetu haijambo kwa mitazamo hasi au imani potofu yaani iko vizuri kweli. Jamii yetu bado inaamini katika nguvu za kishirikina lakini kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea walishasahau haya mambo lakini sisi tupo wote katika karne ya 21 bado tunaongelea imani kama hizo wakati wenzetu wanaongelea makubwa ya kimaendeleo. Najua umeshawahi kusikia katika jamii yako …

Mbinu Ya Kujihamasisha Wewe Mwenyewe

Maisha yetu yanahitaji hamasa kila siku na siyo kwamba labda hatujui ila kila binadamu anaudhaifu wake hivyo hamasa inatumika kuwasha moto katika nafsi zetu na kufanya mambo makubwa zaidi. Kama kila siku tunashauriwa umuhimu wa afya na kila mtu anajua lakini mbona watu hawabadiliki? Tunashauriwa umuhimu wa kuwa na nidhamu binafsi katika maisha yetu lakini …

Iko Siku Nacho Utakikosa Na Hiki Hapa

Katika maisha tunatakiwa kujiandaa na mengi kwa sababu muda mwingine mambo yanakuja na changamoto zake ndani yake. Hakuna anayeamka na kujua leo atakutana na changamoto gani katika maisha yake hivyo wote tunapokuwa tunaamka asubuhi tunakuwa tunajiandaa na siku yetu kwa ushindi lakini muda mwingine mambo yanakwenda ndivyo sivyo licha ya kujiandaa vizuri. Tunatakiwa kujiandaa kisaikolojia …

Hatua Ya Kwanza Unayopaswa Kufanya Katika Mambo Yako Yote

Kuchukua hatua ya kwanza ni kama kuondoa laana lakini kuna ngumu nyingine ambayo tunayo lakini tusipoisema ndiyo inakuwa imeshikilia nguvu yetu. Hivyo tukikosa hiyo nguvu tunakuwa tumekosa kufanikisha mambo yetu mengi, kila mmoja wetu ana nguvu ndani hivyo tukiitumia hiyo nguvu huwa inatusaidia kuondoa kila aina ya hofu. Tukiwa  na nguvu inatupa uwezo wa kujiamini …

Design a site like this with WordPress.com
Get started