Tunashukuru kwa uwepo wa Teknolojia duniani. Ni msaada mkubwa sana miongoni mwetu, hili halihitaji sababu nyingi kuthibitisha hilo. Teknolojia inawasaidia watu wengi kuwa matajiri katika zama hizi. Watu wanatengeneza koneksheni mbalimbali kupitia teknolojia ambayo tunaitumia leo hii katika maisha yetu. Dalai Lama aliwahi kunukuliwa akisema, ninafikiri kweli teknolojia imeongeza uwezo wa binadamu. Lakini, teknolojia haiwezi …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kitu Pekee Ambacho Teknolojia Hakizalishi”