Kila kitu kinaanza kidogo, huwa tunadharau vitu vidogo kumbe vitu vidogo tunavyovichukulia poa ndiyo vinatuletea madhara makubwa. Hakuna tatizo kubwa bila tatizo dogo. Tatizo lolote kubwa limeanza likiwa dogo. Hata katika tabia, hakuna tabia ambayo unayo leo iliyoshuka kutoka mbinguni kwa siku moja bali tabia ambayo unayo leo ilianza kidogo kidogo na hatimaye leo kuwa …
Continue reading “Hakuna Aliyeamka Na Kujikuta Ana Deni Hili”