Kama maisha ya chini yamekushinda fanya maamuzi ya kwenda juu. Maisha ya juu ni mazuri, hayana foleni unafanya kile unachotaka lakini maisha ya chini hayakupi kile unachotaka siku zote. Utatoka hapo ulipo kwenda juu endapo utafanya maamuzi ya kwenda juu na kuyachukia maisha ya chini. Siku zote kila kitu kinaanzia chini, ni kaburi tu linaanzia …
Continue reading “Kama Maisha Ya Chini Yamekuchosha Amua Kufanya Hiki Leo”