Ulishawahi kuona mtu anapata ukinzani kwenye kuangalia TV, kutembelea mitandao ya kijamii, ulevi, na mengine mengi yanayofanana na hayo? Mara nyingi tunashindwa kufanya vitu vigumu kwa sababu vitu vigumu huwa vinadai kazi. Tunapata ukinzani kwenye kazi tu kwa sababu kazi siyo rahisi huwa inahitaji kazi kufanyika. Ndiyo maana ni rahisi kuahirisha kazi na kupata ukinzani …
Continue reading “Siku Zote Huwezi Kupata Ukinzani Kwenye Vitu Kama Hivi”