Watu ambao bado hawajajitambua na kujua nini haswa wanataka katika maisha yao ni vigumu sana kujua thamani ya muda wao. Masikini anatafuta namna hata ya kupoteza muda na tajiri atafuta namna ya kupata muda zaidi. Masikini wa kwanza ni yule ambaye hajui thamani ya muda wake. Mtu ambaye anajua thamani ya muda wake huyo tayari …
Category Archives: Uncategorized
Usipendelee Kitu Hiki Kwenye Maisha Yako
Kuna watu katika maisha wanapenda sana mafanikio lakini hawako tayari kulipia mafanikio hayo wanayoyataka.Ukiona mwenzako anafanya vizuri zaidi jua kuwa kuna kitu anakijua zaidi yako au kuna hatua anazochukua halafu wewe huchukui. Kwenye hii dunia ya leo, usipende sana vitu vya bure kwanini nasema hivyo? Vitu vya bure huwa vinakuwa havina thamani. Kama unataka kitu …
Waepuke Marafiki Wa Aina Hii
Siyo kila mtu ni mtu sahihi kwako kuwa naye katika urafiki. Inahitaji umakini kuwa na marafiki sahihi kwako. Iko njia rahisi ya kupata watu sahihi kwako na njia hiyo ni wewe kuwa mtu sahihi. Utakapokua mtu sahihi wale ambao wanahisi wataweza kuambatana na wewe wataambatana na wewe na wale ambao wanahisi hawawezi kuambatana na wewe …
Hiki Ndicho Kinachoweza Kukunyang’anya Mafanikio Uliyonayo
Iko wazi kuwa sisi ni wa miliki wa muda wa vile ambavyo tunavyo. Hakuna kitu ambacho tunacho tunaweza kukimiliki milele. Falsafa inatufundisha kuwa, sisi ni wamiliki wa muda tu wa vile ambavyo tunavyo na iko siku tutakuja kunyang’anywa. Ni kawaida yetu sisi binadamu pale unapopata mafanikio makubwa basi unazalisha kitu kinachoitwa majivuno. Na majivuno haya …
Continue reading “Hiki Ndicho Kinachoweza Kukunyang’anya Mafanikio Uliyonayo”
Haya Ndiyo Maisha Ya Laana Unayopaswa Kuacha Kuishi
Vipi ile mipango na malengo uliyojiwekea mwaka huu umefikia wapi? Ni kipi ambacho unaweza kujivunia tokea mwaka huu uanze umekifanya kila siku? Je ile hamasa uliyoanza nayo mwaka huu kwa sasa iko wapi? Yako maisha ya laana unayoishi ndiyo maana hufanikiwi kwenye maeneo mengi ya maisha yako. Maisha hayo ya laana ni yale ambayo unajidanganya …
Continue reading “Haya Ndiyo Maisha Ya Laana Unayopaswa Kuacha Kuishi”
Huyu Ndiye Mtu Muhimu Unayepaswa Kumheshimu Sana
Ni asili ya binadamu kupenda kuheshimiwa na kuthaminiwa kama mwanadamu. Pale mtu anapostahili heshima yake mpatie na asipoipata anakuwa anajihisi kama vile hayuko sawa. Watu wengine usipowapa heshima yao kadiri ya vyeo, nyazifa au nafasi walizonazo katika jamii wanaweza wakakuletea shida. Wengine huweza kutumia hata nafasi yao waliyonayo kukukomesha kwa sababu hujawapa ile heshima yao …
Continue reading “Huyu Ndiye Mtu Muhimu Unayepaswa Kumheshimu Sana”
Kitu Pekee Unachopaswa Kukitawala Badala Ya Kuruhusu Kikutawale
Tumepewa mamlaka ya kutawala vitu vingi lakini cha ajabu ni kwamba viko vitu ambavyo watu wanashidwa kuvitawala na vinaishia kuwaendesha. Muda mwingine tunakubali Kuruhusu kitu hicho kitutawale na matokeo yake tunafanya makosa ambayo hatukutegemea kuyafanya. Na baadaye huwa tunajihisi wenye hatia baada ya kutenda. Kitu ambacho watu wameshindwa kukitawala katika zama hizi ni hasira. Hasira …
Continue reading “Kitu Pekee Unachopaswa Kukitawala Badala Ya Kuruhusu Kikutawale”
Jinsi Unavyojinyima Haki Yako Ya Kupata Kile Unachotaka
Iko zawadi ambayo Mungu ametoa sawa kwa watu wote. Masikini na tajiri wote wamebarikiwa kupata zawadi hiyo sawa bila upendeleo wowote. Zawadi hiyo siyo nyingine bali ni muda. Muda ndiyo zawadi pekee ambayo haina upendeleo na mafanikio yetu yote yamelala katika muda. Mtaji wetu wa kwanza wa kufanya chochote kile tunachotaka kwenye hii dunia ni …
Continue reading “Jinsi Unavyojinyima Haki Yako Ya Kupata Kile Unachotaka”
Kuwa Wa Kwanza Kwenye Jambo Hili Hapa
Mahusiano yetu huwa yanakosa ladha kwa sababu ya kuangalia udhaifu wa mtu na siyo uimara wa mtu. Kuna wale watu ambao huwa hawajui kupongeza hata mtu akifanya vizuri yeye huwa anaangalia mabaya tu na siyo mazuri. Hatuwezi kuwa watu wenye mahusiano mazuri kama tutakua ni watu wa kuangalia mabaya tu ya wenzetu na hatuoni mazuri. …
Huyu Ndiye Anayeumia Pale Unapofanya Kitu Chini Ya Kiwango
Mara nyingi tunapofanya jambo lolote lile, liwe baya au zuri wale wanaotenda ndiyo wanakuwa wa kwanza kuathirika. Kwa mfano, ukimtendea mtu ubaya yule unayemtendea hatoumia sana kama wewe unayetenda. Vivyo hivyo katika utendaji, sisi wenyewe huwa tunajua uwezo wetu, hivyo tunapofanya kitu kwa kiwango cha chini kuliko uwezo wetu huwa tunaumia kwa ndani. Tunapata maumivu …
Continue reading “Huyu Ndiye Anayeumia Pale Unapofanya Kitu Chini Ya Kiwango”