Huyu Ndiye Mtu Mchafu zaidi Duniani

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya …, Duniani kuna mambo na kila kitu kipo kwa ajili ya kukamilisha dunia. Hakuna uchafu bila usafi haya yote yako kwa ajili ya kukamilisha dunia. Nilistaajabu jana kujua kuna mtu mchafu zaidi duniani nikaona leo nikushirikishe jambo hili huenda kukawa na kitu cha kujifunza. Amou Haji ni raia wa Irani …

Hiki Ndicho Unachotakiwa Kujali

Kuna mtu akiangalia historia yake ya maisha ilivyo anaweza kusema kuwa yeye hawezi kufanya kitu kadiri ya historia yake. Tunayo mifano ya watu wengi tu tokea enzi na enzi ambao walikuwa na historia mbaya lakini Mungu alikuja kuwabadilisha na kuwa watu wa historia nzuri. Ndiyo maana leo ninakuambia rafiki yangu, haijalishi unatokea wapi?, Kinachojali ni …

Mambo Mawili Unayopaswa Kuwa Nayo Ili Kutenda Miujiza Kwenye Maisha Yako

Kila mmoja wetu amezaliwa na uwezo mkubwa sana ndani yake lakini kadiri ya mazingira tunayoishi, mitazamo hasi tunayoingiza akilini inasababisha kushindwa kutumia uwezo mkubwa wa akili tulio nao. Wewe ni kiumbe uliyependelewa kuliko viumbe vilivyoko duniani lakini cha ajabu yake hutumii vema upendeleo huo ambao umejaliwa kuwa nao. Hivi ukijiuliza tunakwama wapi mpaka tunashindwa kufanya …

Unachokihofia Huwa Hakipo

Huwa tunatengeneza mazingira ya hofu ambayo hata haipo katika hali ya kawaida. Unakuta mtu anatengeneza mazingira ya hofu kiasi kwamba inamletea hata kushuka kwa ufanisi wake wa kazi. Pengine unajua siku fulani utakuwa na tukio fulani basi mtu anatengeneza mazingira ya hofu, anaanza kuiwazia hiyo siku itakuwaje na matokeo yake anaanza kujawa na hofu ambayo …

Kama Tatizo Lako Linatatuliwa Na Fedha Basi Jua Tatizo Lako Ni Hili Hapa

Ukichunguza matatizo mengi tuliyonayo chanzo kimoja ni fedha. Hata matatizo mengi uliyonayo siyo kwamba ni matatizo makubwa sana bali kuna kitu kinachangia wewe kuwa hivyo.Kumbe basi, matatizo mengi watu waliyonayo yanasabishwa na ukosefu wa fedha. Kama una matatizo, halafu tatizo lako linaweza kutatuliwa na fedha basi wewe huna tatizo hapo, Bali tatizo lako ni fedha …

Haya Ndiyo Mambo Mawili Yanayoweza Kutokea Katika Maisha Yako

Heri ya mwezi agasti, Unapopata muda wa kujitathimini katika kile unachofanya kila siku mambo hayawezi kwenda kama vile ulivyopanga au vile unavyotaka wewe. Hivyo basi, katika maisha yetu pale mambo yanapokwenda ndivyo sivyo hata usijilaumu sana bali pokea na shukuru jifunze kwa kile kilichotokea. Wakati mwingine huwa tunajiaandaa na ushindi ,tunapanga mambo yetu kama vile …

Njia Ya Kufikia Malengo Yako Ya Kifedha

Katika saikolojia ya mauzo, mwandishi Brian Tracy ameshirikisha mbinu nyingi za kufanikiwa kimauzo.Kila mmoja kuna kitu anauza hata kama huna biashara kuna kitu unauza ndiyo maana unayaendesha maisha yako kwa mfano, unaweza kusema mimi siyo mfanyabiashara hivyo basi sina haja ya kujifunza mauzo, hapana unatakiwa kujifunza mauzo kika siku kwani mauzo ndiyo yanamfanya kila mtu …

Njia Rahisi Ya Kupunguza Matatizo

Huwa tunafikiri kuwa tunaweza kumaliza matatizo yetu, hapana hatuwezi kumaliza matatizo yetu kama tunaendelea kuishi hapa duniani. Kuepuka matatizo ya duniani ni kuondoka duniani ila kama unaishi changamoto ni sehemu ya maisha kama vile unavyokula kila siku huli mara moja na kusema huli milele bali kila siku. Hutatui changamoto moja na kusema umemaliza changamoto zote, …

Pale Mtu Anapokushinda Mwache Awe Hivi

Kuna wakati unajikuta unachoka pale unapokuwa unamsaidia mtu kuwa katika mstari na yeye wala haelekei. Wako ambao tuko nao katika mahusiano ya kindugu wamekuwa ni watu ambao hawaambiliki kabisa. Unakuwa mpatanishi sana wa kusuluhisha lakini inafikia mahali kibinadamu unachoka. Inapotokea kupishana kauli na mtu, mkaombana msamaha nyie kwa nyie, akawa hataki, mkamshirikisha mtu mwingine mpaka …

Jinsi Ya Kupata Utulivu Wa Akili

Mara nyingi huwa tunatengeneza tabia kisha tabia zinatutengeneza sisi, siyo tu tabia bali pia hata matatizo huwa tunatengeneza sisi wenyewe hata furaha pia. Kwa mfano, watu wakijua kesho kuna sherehe ya kitu fulani basi watatengeneza furaha ya sherehe hiyo na kweli katika tukio hilo utawakuta watu wanafurahi kweli. Ila ikitangazwa kesho ni siku ya kutoa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started