Aliyekuwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa John Paul wa pili, enzi za uhai wake aliwahi kunukuliwa akisema,”Hakuna mtu ambaye ni masikini sana ambaye hana kitu cha kutoa, na hakuna mtu ambaye ni tajiri sana ambaye hana kitu cha kupokea” Kwanza kabisa, nikupe siri moja ambayo ulikuwa huijui, duniani hakuna mtu masikini bali kuna akili …
Continue reading “Huu Ndiyo Mtaji Ambao Tayari Unao Wa Kuongeza Kipato Chako”