Ni sheria ya asili kuwa, hatuwezi kupata bila kupoteza. Kwa mfano, kama unataka kuvuna mahindi mengi shambani lazima ukubali kufukia chini mbegu ili upate mahindi mengi. Kwenye kila unachotaka kwenye maisha yako, kuna gharama unayopaswa kuilipa.Iwe kwenye kazi, biashara, familia, ndoa, kipaji n.k. Kuwa tayari kupoteza kile ambacho unacho ili uweze kupata kile ambacho huna. …
Continue reading “Kuwa Tayari Kupoteza Hiki Hapa Ili Upate Kile Unachotaka”