Design a site like this with WordPress.com
Get started

Jinsi Mabadiliko Yanavyokuua

Ray Norda anasema ukisababisha mabadiliko, unakuwa kiongozi wa mabadiliko, unakuwa kwenye nafasi kubwa ya kufanikiwa.

Na pale unapokabiliana na mabadiliko, unapona kwenye Mabadiliko hayo. Lakini pia mabadiliko hayatakupoteza.

Ila ukiyapinga mabadiliko, mabadiliko yanakuua na yanakupoteza kabisa.

Hatua ya kuchukua leo; popote pale ulipo, kuwa chanzo cha mabadiliko na mara zote utakua mbele na kufanikiwa.

Kitu cha mwisho, mabadiliko yoyote unayoyapinga au kuyakataa kwenye maisha yako, yanakuua au yanakupoteza kabisa.

Lakini, unapochelewa na ukakuta mabadiliko yameshatokea tayari, kubaliana nayo haraka ili usipotezwe.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: