Design a site like this with WordPress.com
Get started

Jinsi Ya Kuondokana Na Wivu

Maana rahisi ya wivu ni kujiona wewe unastahili zaidi kuliko wengine.

Sina uhakika kama itakufaa, na wivu ni wivu tu, hakuna wivu mzuri wala mbaya.

Jinsi gani ya kuondokana na wivu?

Usiwe na wasiwasi utapata majibu sahihi hapa.

Kwanza ni rahisi sana, usijilinganishe na yeyote.

Pili, kubali kwamba kuna watu watakaokuwa wamekuzidi kwa chochote unachofikiri upo juu.

Tatu, jikubali jinsi ulivyo.

Nne, kuwa makini na mitandao ya kijamii kwa sababu sehemu kubwa ya maisha ambayo watu wanaonesha kwenye mitandao ya kijamii siyo halisi kwao. Je, hayo ndiyo maisha yako halisi?

Tano, soma kitabu cha Kwanini Msamaha Why Forgiveness ambacho kitakusaidia kukupa maarifa sahihi yatakayokuwezesha kuondokana na wivu kiundani zaidi.

Hatua ya kuchukua leo; Usijilinganishe na mtu na jikubali kama ulivyo ni njia nzuri ya kuondokana na wivu.

Kitu kimoja cha mwisho, kubali kwamba kuna watu watakaokuwa wamekuzidi kwa chochote unachofikiri upo juu.

Badala ya kuwaonea watu wivu, jitahidi na wewe kuwa yule unayemtaka.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: