Asili yetu sisi binadamu ni kazi. Hata ukiona mikono yetu ilivyokaa ni imekaa kwa ajili ya kazi au kuwajibika. Hata watoto wadogo ukiwaacha sehemu fulani, huwezi kuwakuta wakikaa tu,lazima watawajibika kwa kitu chochote kile. Labda watajenga nyumba kwa mchanga au hata kwa maboxi. Hapa tunajifunza kwamba, uwajibikaji ni asili ya binadamu. Usipowajibika kwenye maisha yako, …
Jifunze Kutokana Na Majanga Yako
Rafiki, Hakuna wakati mzuri wa kujifunza kwenye maisha kama wakati wa majanga. Jua kwamba, majanga kwenye maisha yetu yanamfikia kila mtu na huwezi kuyakwepa. Na njia bora ni kujifunza kupitia majanga hayo ili kuwa bora zaidi. Na namna watu wanavyopokea majanga ni tofauti.Wako ambao wanayapokea na wanajifunza kupitia majanga yao. Watu ambao wanayapokea majanga katika …
Aliyejitoa Hana Maelezo
Rafiki, Kwenye haya maisha, maelezo huwa hayahitajiki bali watu wanahitaji matokeo. Haijalishi umepitia au unapitia nini, yule anayetegemea kupata kutoka kwako huwa anataka matokeo na siyo vinginevyo. Haitaji maelekezo yako, anahitaji kile anachotaka. Kama unaweza kutoa maelezo, kwa nini unashindwa kutoa matokeo? Jitahidi sana kwenye maisha yako, usiwe mtu wa maelezo bali kuwa mtu wa …
Jinsi Ya Kujua Kusudi Lako
Rafiki, Kila mtu amekuja duniani kwa kusudi lake, hivyo ni muhimu kujua umekuja duniani kwa kusudi gani. Usikae duniani kihasara, jua umetumwa kuja kukamilisha nini duniani na kamilisha hilo. Haupo hapa duniani kama minyoo, bali acha alama.Swali muhimu la kujua kusudi la maisha yako na kutengeneza maono yako ni kama ifuatavyo; Swali hilo ni KWA …
Siyo Uhalisia
Rafiki, Huwa tunatengeneza hofu kisha hofu inatutengeneza.Tunatengeneza mazingira ya hofu ambayo yanakuwa kama breki kwetu. Hofu ni kitu ambacho hakipo katika uhalisia, hofu ni zao la akili ambalo tunalitengeneza sisi wenyewe. Tunatengeneza picha kwenye akili yetu ambayo kiuhalisia hata hicho kitu hakipo. Usiwe na hofu yoyote kwenye maisha yako, kama kitu kimepangwa kutokea kitatokea tu. …
Kila Mtu Anajali Maslahi Yake
Rafiki, Sisi binadamu kiasili kabisa ni wabinafsi. Kila mtu yuko hapa duniani kwa ajili ya maslahi yake. Watu huwa wanaangalia wanapata nini kwanza kisha ndiyo wafanye kile wanachofanya kufanya.Hata kwenye mauzo, watu hawezi kushawishika kuchukua hatua ya kununua kitu fulani kama hawana maslahi wanayoyapata kwenye kile wanachonunua. Usije ukawashangaa watu pale unapowaona wanashindwa kushawishika kuchukua …
Usiamini Katika Hili
Rafiki, Wako watu wanaamini kwamba maisha yao yatakuja kubadilika siku moja.Wengine wanamsemo wao kabisa wakisema, one day yes, wakiwa na maana kwamba siku moja watafanikwa yaani watatoboa. Watu wengi wanaamini katika bahati na siyo katika kazi. Ni kweli, bahati inahusika katika maisha lakini siyo kitu cha kutegemea kwenye maisha yako. Bahati siyo kitu cha uhakika …
Aina Mbaya Ya Kukata Tamaa
Kiasili kila binadamu huwa anakata tamaa katika hali fulani ya maisha yake.Kukata tamaa ni hali ya kutokuona tumaini fulani unalolitarajia kulipata kwenye maisha yako. Kutokuliona tumaini kwenye maisha yetu, ndiyo hali inayowafanya watu kushindwa kuendelea na kile wanachopaswa kufanya. Aina mbaya ya mtu kukata tamaa ni kukata tamaa kiroho. Mtu aliyekata tamaa kiroho, ni mtu …
Usitamani Haya Mafanikio Kabisa
Rafiki, Ni kawaida yetu sisi binadamu kutamani mafanikio ya watu wengine. Ni vizuri kutamani mafanikio siyo kitu kibaya.Lakini mafanikio huwa hayaji kwa kutamani bali kwa kuchukua hatua ya kufikia mafanikio makubwa unayotaka. Mafanikio ambayo sitaki uyatamani ni yale ambayo mtu tayari unayo. Badala ya kutamani matokeo ya mtu. Tamani mchakato mzima aliotumia kupata matokeo mazuri …
Siyo Kwamba Hujui, Tatizo Ni Hili Hapa
Rafiki yangu nikupendaye, Pata picha ukiangalia historia ya maisha yako, ulipotoka, ulipo na utakapoelekea ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa vile ulivyo sasa. Sina uhakika kama itakufaa lakini kwenye maisha yako, huenda ulikwama au unakwama kwa sababu ya kutokujua au kama unajua basi hujafanyia kazi yale unayojua.Na wanasheria nao wanasema, kutokujua sheria si utetezi …