Ukuaji Wowote Ule Ni Huu Hapa

Rafiki, Ukuaji wowote ule rafiki yangu nikupendaye ni kujisukuma. Kila kitu kwenye kinakuja kwa njia ya kujisukuma. Usitegemee utapata mafanikio makubwa kama hujisukumi. Asili yetu sisi binadamu ni wavivu, hivyo bila kuweka kazi na kujisukuma zaidi hatuwezi kupiga hatua. Watu wengi ambao wanafanya makubwa, huwa wanajisukuma sana kufanya kazi. Wanafanya kazi kwa sababu wanakuwa na …

Utahukumiwa Kwa Tabia Hizi

Rafiki, Watu wakitaka kujua wewe ni nani, hawapati hata shida wanaangalia tu marafiki zako wakoje na wanapata majibu ya wewe ni nani. Kitu kimoja ambacho nataka uondoke nacho hapa ni kwamba, utahukumiwa Kwa tabia za wale wanaokuzunguka. Unapaswa kujiuliza wewe mwenyewe, unazungukwa na watu wa aina gani? Watu wanaokuzunguka wana tabia gani? Unapojenga sifa zako, …

Kirudie Tena Kama Kinafanya Kazi

Rafiki,Kabla hatujajua njia ya kwenda sehemu fulani, huwa tunabudi na hata wakati mwingine kupotea. Ni kama vile kupata jibu la hesabu, ukishajua njia sahihi ya kupata jibu, huna haja ya kuhangaika na kutafuta njia nyingine mpya badala yake unatumia ile njia inayofanya kazi na kuleta matokeo mazuri.Kama kitu kinafanya kazi, hakikisha unakiendeleza ili upate matoke. …

Hii Haijawahi Kwenda Bure

Rafiki, Juhudi yoyote unayoweka kwenye kitu chochote kile, haijawahi kwenda bure. Kama unataka matokeo mazuri zaidi, weka juhudi kwenye kile unachofanya.Kama muda wote ukiweka kwenye kazi, lazima zile juhudi ulizoweka zitakulipa.Watu wengi bado hawaweki juhudi za kweli ndiyo maana hawapati matokeo mazuri. Kama umeajiriwa, tumia muda wa mwajiri vizuri kuzalisha na kuleta thamani kubwa.Kama umejiajiri, …

Jenga Utamaduni Huu Kwenye Maisha Yako

Rafiki, Kila sehemu inapaswa kuwa na utaratibu na watu wanafuata utaratibu huo.Hakuna sehemu ambayo huwa inajiendea tu kienyeji, bali kuna kuwa na utaratibu ambao unakuwa ni utamaduni wa eneo hilo na watu wanafuata. Kama una biashara yako, jenga utamaduni wa biashara yako, ambapo kila mtu anapaswa kufuata utamaduni huo na siyo kila mtu kuja na …

Hawa Ndiyo Watu Wanaotaka Wewe Ufanikiwe

Rafiki, Kwenye maisha yako, usiwe na mtu au watu ambao wanakuzuia wewe usifanikiwe.Mtu ambaye anakuzuia wewe usifanikiwe ni adui yako huyo hupaswi hata kumpa nafasi ya kumsikiliza.Watu wanaokujali ni wale ambao wanataka wewe ufanikiwe. Mtu anayetaka wewe ufanikiwe ni yule anayekujali wewe kwa kukupa sapoti ili mambo yako yaende. Ambaye yuko kinyume na wewe, huyo …

Ijaze Akili Yako Haya

Rafiki, Pata picha umekaa sebuleni kwako na akaja mtu na kifurushi cha uchafu na kukumwagia hapo je, utafanyaje? Utamwachia kweli? Pale mtu anapopataka kutuharibia mazingira yetu ya nje, huwa hatukubali hata kidogo. Lakini, tuko tayari kuharibiwa akili yetu na akili ndiyo imebeba kila kitu. Tunakubali kuingiza kila kitu kwenye akili zetu bila hata ya kuchukua. …

Usijali

Rafiki, Kwenye watu kuna mengi na ukisema ufuatilie kila mtu anachofanya au kusema huenda ukakosa hata muda wa kufanya mambo yako binafsi. Mtu akikusoa wala hata usijali, Mtu akikusema vibaya wala hata usijali, Kwa sababu, hiyo ndiyo kazi waliochagua kuifanya. Wewe unachotakiwa kujali ni kazi yako.Kila mtu hapa duniani anajichagulia kazi ya kufanya, wengine kazi …

Hiki Kitu Hakiwezekani

Rafiki, Kwenye maisha kila kitu kinahitaji uwekezaji mzuri ili kukuletea matokeo mazuri. Na uwekezaji wowote ule utakaofanya lazima unahitaji muda, fedha na uvumilivu. Hakuna sehemu ambayo utavuna bila kupanda. Kila mtu anajua jinsi kilimo kilivyo na wengi wetu tunatokea au tumekulia katika shughuli za kilimo. Tunajua kwamba kilimo kinahitaji uwekezaji, muda , fedha na uvumilivu. …

Hii Siyo Maana Ya Mafanikio Kwako

Rafiki, Huwa tunaamini kuwa, mafanikio siyo kupata hiki na kukosa kile, siyo kutumia muda mwingi kwenye kazi na kukosa muda na familia, siyo kuwa bize na kazi na kusahau afya yako. Mafanikio ni kuwa na kila kitu, kuwa na fedha nyingi, kuwa na afya bora, kuna na mahusiano mazuri na wengine, kuwa vizuri kiimani na …

Design a site like this with WordPress.com
Get started