Rafiki,Jifunze kwa walioshindwa. Angalia watu wako wa karibu, wameshindwa kufanya nini na wewe epuka kuwa kama wao au kufanya kama wao. Angalia baba, mama, mjomba, watu wa karibu kwako, marafiki na kadhalika yako walishindwa kwa sababu gani na wewe usiwe kama wao. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kujifunza kwa walioshindwa na sisi tutakawa bora.Habari njema …
Bado Hujamaliza Kazi
Maisha ni mwendelezo wa mabadiliko, kazi na ni kazi ambayo haina mwisho. Kama upo hapa duniani, unaweza kusema umemaliza kazi lakini bado hujamaliza kazi. Ukiwa na jukumu fulani kwenye maisha yako, unakuwa unajipa moyo kwamba nikimaliza, basi nitakuwa nimemaliza kazi.Mwingine atakuambia nikimaliza kusomesha nitakuwa nimemaliza kazi. Kwa mfano, mzazi kumpeleka mtoto shule na kulipa ada …
Kuwa Bingwa Kabla Hujawa Bingwa
Mchezo mzima wa ushindi huwa unaanza kujengwa kwa mtu hata kabla hajawa mshindi.Na sehemu nzuri ya kuanza kuwa mshindi kabla hujawa mshindi ni kuanza kujijengea ile picha ya kuwa unayemtaka mapema. Ushindi huwa unaanza picha kubwa iliyojengwa kwenye akili ya mtu. Kabla mtu hajaingia kwenye mchezo, anakuwa tayari ameshashinda kiakili. Kuwa bingwa kabla hujawa bingwa …
Hivi Ndivyo Unavyofanya Vitu Vyote
Rafiki yangu nikupendaye, Watu wakitaka kukupima kwa namna unavyoyaendesha maisha yako, wanakupima kwa kitu kimoja tu na wala siyo vingi.Mtu akikuangalia tu kwa kitu kimoja kwa namna unavyofanya, anakuwa amepata picha ya wewe ni mtu gani. Iko hivi, jinsi unavyofanya kitu kimoja, ndivyo unavyofanya vitu vyote. Watu wakitaka kuona huwa unafanyaje mambo yako, huwa wanaangalia …
Jifunze Kwenye Kila Kosa
Rafiki, Lengo siyo kuepuka makosa kwenye maisha yetu bali ni kujifunza kutokana na makosa tunayofanya. Kila mtu anakosea na utakosea mara nyingi kwenye maisha yako, lengo siyo kuepuka kukosea bali kuhakikisha unajifunza kwenye kila kosa unalofanya ili usirudie tena kosa la aina hiyo. Waelewe wengine pale wanapokosea kwa sababu hata na wewe mwenyewe unakosea.Wafundishe watu, …
Uaminifu Na Uadilifu
Rafiki, Unajua nini kuhusu uaminifu na uadilifu? Maana rahisi ya uaminifu ni kusema ukweli na uadilifu ni kuishi ukweli. Watu wengi ni waaminifu lakini siyo waadilifu.Wanaweza kusema vitu vingi kwa kuahidi na kuonesha kwamba wao ni waaminifu lakini ni ngumu watu hao hao walioahidi kwenda kuishi uadilifu. Uadilifu ni kazi. Ni watu wachache sana ambao …
Haya Ndiyo Mafanikio Ya Kweli
Mafanikio ya kweli ni maelewano ya nguzo tano za maisha. Ili kuwa na mafanikio ya kweli kwenye maisha, lazima kuwe na maelewano katika nguzo kuu tano za maisha, ambazo ni fedha, mahusiano, akili, mwili na roho. Maelewano haya yanafanya maisha yaweze kwenda na kwa pamoja ukapiga hatua. Kwa mfano unapokuwa na fedha, huku afya yako …
Sheria Ya Kuishi Maisha Rahisi Na Kukuepusha Na Matatizo
Marcus Aurelius alikuwa mwanafalsafa wa ustoa na mtawala wa Dola ya Roma. Kupitia kitabu chake cha Meditations ametushirikisha mbinu mbalimbali za kuweza kuishi maisha yetu kwa mafanikio. “If it is not right, do not do it, if it is not true, do not say it.” –Katika kauli yake hiyo hapo juu, anatukumbusha umuhimu wa kufanya …
Continue reading "Sheria Ya Kuishi Maisha Rahisi Na Kukuepusha Na Matatizo"
Hasara Utakayopata Baada Ya Kuvunja Misingi
Maisha yetu sisi binadamu ni kuhusu misingi.Kila kitu ni misingi.Na kwenye kila eneo la maisha yetu lina misingi yake ambayo unapaswa kuifuata. Misingi ndiyo mwongozo wa kila mtu ili kufanikiwa kwenye kitu fulani. Unaweza ukaishi kwenye misingi yako na watu wakakuona kwamba umepitwa na wakati.Na unaweza usiishi kwenye misingi ya kitu fulani na ukajiona MJANJA …
Continue reading "Hasara Utakayopata Baada Ya Kuvunja Misingi"
Fanya Kwa Kiasi
Rafiki, Chochote unachofanya kwenye maisha yako, fanya kwa kiasi. Kwa mfano, kukosa maji kutakupelekea kufa, ila pia kunywa maji mengi sana kutakupelekea kufa. Kuwa na msongo wa mawazo uliopitiliza ni hatari, lakini pia kukosa msongo kabisa maisha yanakuwa yanachosha. Mwili wa binadamu mara zote upo kwenye hali ya kubadilika. Kitu chochote unachofanya ni lazima ufanye …