Rafiki, Tumeshazoea katika maisha, kujilinganisha na wengine. Kujilinganisha na wengine siyo kipimo sahihi. Huwa tunakosea sana kwenye hili. Tunapaswa kujilinganisha na sisi wenyewe kadiri ya mchakato na hatua tunazochukua ndani yetu. Kinachotokea pale tunapojilinganisha na wengine ni kujichukia sisi wenyewe na kujiona hatuna tunachofanya.Na mara tu baada ya kujilinganisha, tunanyang'anywa furaha yetu yote na kubaki na …
Continue reading "Huyu Ndiyo Mtu Unayepaswa Kujilinganisha Naye"