Rafiki, Wote tunajua kwamba maisha yetu yanaendeshwa na gharama.Kila siku gharama za maisha ni nyingi na bila kuwa na fedha ni ngumu kuendesha maisha. Tukiachana na pumzi tunayovuta bure kabisa, vitu vingine vyote vinahitaji kulipiwa bili. Hata ukiumwa na ukiwa huna hela ndiyo hatari zaidi kwa sababu hii pumzi ya bure unayopata ukiumwa na kushindwa …
Jinsi Ubora Unavyopatikana
Rafiki, Ubora siku zote hauji kwa kuweka mikono mifukoni.Ubora hauji kwa kusema, bali ubora unapatikana kwa njia ya kufanya. Huwezi kuwa bora kama hufanyi, huwezi kuwa bora kwa kujifunza na kupanga pekee. Hata kama ungejifunza na kujua kiasi gani, unapoanza kufanya kwa vitendo lazima utakosea. Lakini, kadiri unavyoendelea kufanya, ndivyo unavyozidi kuwa bora zaidi na …
Kichocheo Cha Kukupa Hamasa Ya Kufanya Kila Siku
Rafiki,Sisi binadamu kwa asili ni wavivu. Na kitu ambacho kinatupa uvivu ni kwa sababu ya kukosa msukumo wa kufanya. Yaani ukikosa hamasa na shauku ya kukusukuma kuamka mapema asubuhi ni ngumu kuamka.Safari ya mafanikio ni ngumu, bila kuwa na kitu kinachokusukuma, ni ngumu kutoboa. Leo ninakwenda kukushirikisha kitu ambacho kitakupa hamasa ya kufanya kila siku. …
Continue reading "Kichocheo Cha Kukupa Hamasa Ya Kufanya Kila Siku"
Usijisahau Wewe Mwenyewe
Rafiki, Watu wengi wanawekeza kazi kwenye kile wanachotaka. Kitu ambacho ni kizuri sana. Lakini, watu hao licha ya kufanya kazi, huwa wanajisahau wao wenyewe. Mtu anafanya kazi lakini anashindwa kujipenda yeye mwenyewe. Yuko radhi awafanyie watu wengine na kisha kujisahau yeye mwenyewe. Hali ya kujisahau inapelekea mtu hata kukosa hamasa ya kuendelea kupambana.Wewe ndiyo mtu …
Sababu Inayowapelekea Watu Wengi Kufanikiwa
Rafiki, Kuna watu ambao wanakuwa kama wana "aleji" ya kufanikiwa kwenye maisha yao. Hata uwaoneshe ushuhuda, kwa kuwa hawataki bado wataendelea kushikilia msimamo wao. Kuna watu ambao wanapenda ushindi, wanapenda kufanikiwa kwenye kila wanalotaka. Na watu hawa kwa sababu wameamua kupata ushindi, lazima watatafuta sababu ya ushindi. Mtu akiamua kufanya jambo fulani, lazima atahakikisha anafanikiwa.Mtu …
Continue reading "Sababu Inayowapelekea Watu Wengi Kufanikiwa"
Jinsi Ya Kupata Hamasa
Rafiki, Sisi binadamu ni watu ambao tuna uwezo mkubwa ndani yetu. Lakini uwezo huu, hauwezi kuonekana mpaka hamasa fulani iwepo. Hamasa huwa inawasukuma watu kufanya kinyume na mazoea yao. Ili uwe na hamasa, unahitaji kuwa na shauku. Shauku ndiyo mama wa hamasa. Watu ambao hawana shauku ya kile wanachofanya, wanakuwa wamepoa. Na ukipoa kwenye kile …
Jinsi Ya Kuepuka Kupata Matokeo Duni
Rafiki, Kila mmoja wetu anapenda kupata matokeo mazuri. Hakuna anayependa kupitia hali ya kupata matokeo duni hata siku moja. Lakini, kuna wakati sisi wenyewe huwa tunachangia kupata matokeo hayo duni. Tunachangiaje sisi wenyewe kupata matokeo duni? Ni kupita kukosa maandalizi mazuri juu ya kitu fulani.Maandalizi mazuri huwa yanazuia kupata matokeo mabaya. Mara zote pendelea kuwa …
Jinsi Ya Kufanya Yasiyowezekana
Rafiki, Kuna vitu ambavyo unataka kufanya kwenye maisha yako, lakini ukiangalia wanaokuzunguka hakuna aliyewahi kufanya. Na kama hiyo haitoshi, watu wanakuambia kabisa kwamba unachotaka kufanya hakiwezekani kabisa. Hapa ndipo ndoto za wengi zinapofia na wanarudi kuishi maisha ya kawaida. Usikubali ndoto yoyote uliyonayo ife kizembe kiasi hicho. Unachohitaji ni kuwa na imani isiyoyumbishwa juu ya …
Kumbuka
Rafiki,Watu walioshindwa wanapenda kuona na wengine nao wanashindwa. Watu wenye mtizamo hasi wanapenda kuona na wanaowazunguka nao wana mtizamo hasi. Kitu muhimu sana unachotakiwa kufanya ni kuepuka sana watu ambao wana mtizamo hasi. Maana watakurudisha nyuma na hutaweza kufanikiwa. Wakimbie haraka watu hawa. Unachotakiwa kufanya ni;Wakati wote kuwa chanya.Watu ambao wako chanya wanatengeneza nguvu chanya …
Heri Watu Wakuchukie Kuliko Kukupuuza
Chochote kile utakachofanya kwenye maisha yako, hutakosa watu ambao watakuchukia. Ukifanya mazuri au mabaya lazima utachukiwa.Ukifanya kitu ambacho ni cha tofauti kuliko wengine, wako ambao watakupongeza na wako ambao watakuchukia. Ukiwa na hela, ukipambana kufanya makubwa, wako watu ambao watakuchukia tu pasipo sababu. Sasa ipi bora, uchukiwe ukiwa nacho au upuuzwe ukiwa huna?Ni bora uchukiwe …