Usiharakishe Kufanya Maamuzi

Kwa kila maamuzi unayofanya, usiharakishe Kufanya maamuzi. Jipe muda wa kutafakari na kujifunza kabla hujaamua ni hatua zipi unazochukua. Unapokuwa una jambo, kuwa mtu wa kutulia na kufikiria namna ya kufanya maamuzi. Usiwe mtu wa kukurupuka, fikiria kwanza kabla kabla hujafanya maamuzi. Usiongozwe na hisia, jitahidi kufanya maamuzi wakati ukiwa na akili iliyotulia.Mwisho, usiharakishe Kufanya …

Kikubwa Uzima

Kama umeamka na kujikuta unapumua, ni jambo la kushukuru.Hata kama mambo yote hayajaenda vile ulivyokuwa umepanga, kama unapumua unapaswa kushukuru kwa sababu wako watu wengi walitamani kupumua lakini leo wameshakufa. Ni vizuri kufurahia ushindi wa uhai, lakini kusherekea uhai bila kuutumia kuzalisha hiyo inakuwa siyo sawa. Watu wengi wamekuwa wanajifisha kwenye mwamvuli wa kushukuru uzima …

Usihukumu Kabla Hujajua Kwa Nini Ya Mtu

Watu wanakuwa na mipango yao kichwani, pale wanapokuwa wanataka kufanya kitu, unaweza kuwahukumu kwa namna unavyoona wewe. Watu wanakuwa na kwa nini zao mwanzoni.Wanapoanza kufanya kitu, unaweza usiwaelewe kabisa.Unaweza kuwahukumu kwa kile wanachofanya. Lakini, usiwahukumu watu kabla hujajua kwa nini yao ya ndani.Watu wanakuwa na kwa nini zao. Kwa nini zinazowaongoza kufanya kitu. Usiwe mtu …

Jinsi Ya Kupata Faida Kwenye Biashara Ndogo

Rafiki, Faida kwenye biashara ndogo ipo kwenye kununua au kuzalisha. Biashara nyingi ndogo huwa ni za reja reja au za kuzalisha bidhaa ambazo hazina tofauti kubwa kwa nje. Hivyo bei huwa hazitofautiani sana. Hii hupelekea ushindani kuwa mkali kwenye bei, kila mtu anaweka bei itakayovutia wateja na hilo kusababisha faida kuwa ndogo. Ili kupata faida …

Vuta Watu Wa Aina Hii

Kila mmoja wetu ana kitu cha kipekee ndani yake. Jinsi unavyoishi na watu, ndivyo unavyowavuta watu wanaofanana na wewe.Ishi maisha ambayo yanagusa wengine.Ishi maisha ya msaada, wasaidie wengine kupitia kile unachofanya.Watu wakifanikiwa, hawatakuacha. Tengeneza jina, tengeneza marafiki ambao ukiwa na jambo lako ni rahisi kukusaidia.Wavute watu wako kwa upendo nao watavutika.Usitumie mabavu kuwavuta watu, bali …

Kila Siku Fikiria Vitu Hivi Viwili

Kama unataka kufanikiwa kwenye eneo la fedha, basi unapaswa kufanya mambo haya mawili. Pale unapoamka, fikiria namna ya kuongeza kipato chako kwanza. Fikiria leo nitaenda kutoa thamani gani kwa watu?Leo nitaenda kuwasaidia nini watu ? Watu wana matatizo mengi, na unapoenda kuwasaidia na kuwapa suluhisho watakushukuru na kukusaidia. Angalia kila mtu ana fedha zako, swali …

Usikubali Watu Wakushinde Kwenye Eneo Hili

Mwanamafanikio, Watu wanaweza kukushinda kwenye uzuri, mwonekano vingine vingi. Lakini liko eneo ambalo hata watu wafanye nini, hawawezi kukushinda. Kwa sababu ni eneo ambalo liko ndani ya uwezo wako. Waruhusu watu wakushinde kwenye yote lakini usikubali mtu akushinde kwenye kazi. Ifanye mikono yako kuwa ya Dhahabu, mtu akishika kazi yako na ajue kweli fulani amefanya …

Kazi Haimtupi Mtu

Watu wanaweza kukushinda kwenye uzuri, mwonekano vingine vingi. Lakini liko eneo ambalo hata watu wafanye nini, hawawezi kukushinda. Kwa sababu ni eneo ambalo liko ndani ya uwezo wako. Waruhusu watu wakushinde kwenye yote lakini usikubali mtu akushinde kwenye kazi. Ifanye mikono yako kuwa ya Dhahabu, mtu akishika kazi yako na ajue kweli fulani amefanya kazi. …

Usikubali Watu Wakushinde Kwenye Eneo Hili

Mwanamafanikio, Watu wanaweza kukushinda kwenye uzuri, mwonekano vingine vingi. Lakini liko eneo ambalo hata watu wafanye nini, hawawezi kukushinda. Kwa sababu ni eneo ambalo liko ndani ya uwezo wako. Waruhusu watu wakushinde kwenye yote lakini usikubali mtu akushinde kwenye kazi. Ifanye mikono yako kuwa ya Dhahabu, mtu akishika kazi yako na ajue kweli fulani amefanya …

Usikubali Watu Wakushinde Kwenye Eneo Hili

Mwanamafanikio, Watu wanaweza kukushinda kwenye uzuri, mwonekano vingine vingi. Lakini liko eneo ambalo hata watu wafanye nini, hawawezi kukushinda. Kwa sababu ni eneo ambalo liko ndani ya uwezo wako. Waruhusu watu wakushinde kwenye yote lakini usikubali mtu akushinde kwenye kazi. Ifanye mikono yako kuwa ya Dhahabu, mtu akishika kazi yako na ajue kweli fulani amefanya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started